@sandeorise20: #fashion #kenyantiktok🇰🇪 #kenyancomedy #tanzaniatiktok #tanzania #trendingvideo #fyp #fpyシ #fpyツ #fppppppppppppppppppp

MNAZINGUA 💥COMEDY👑 🇹🇿
MNAZINGUA 💥COMEDY👑 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 October 2024 19:26:27 GMT
298325
15970
550
3627

Music

Download

Comments

salimomarmkapa
salimomarmkapa :
Yani mjinga anakufanya mbumbumbu eti upewe dunia nzima eh. Jamani sasa sijui kama sisi ndo tutafata majini baharini na mapangoni tukaishi nao🤣🤣🤣
2025-04-09 20:56:23
0
emmyemmy382
Emily kiki 382 :
kaka John jamani uko wapi😂😂😂
2024-10-26 08:38:07
14
ramadalleomessi
Kamchape Jr :
kijana Malaya alivyo mpole🤣🤣🤣
2024-10-25 20:39:15
62
mr_mkunye
BUDA masai :
mzee kwenye kikao chetu tulikubaliana ndoa ni kwa wenye bikra tu wengine ni sogea tukae na lazima tuonje 😂😂😂
2024-10-25 20:25:34
25
venisaselevesto
venisaselevesto :
Mwingine anakwambia, nikikuona mapigo ya moyo yanapigia nje ya tisheti🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-01-26 15:29:48
4
isayapilly
isaya pilly :
😂😂😂isaya yupi tena mzee?
2024-10-25 21:30:31
24
user8017826919070
trana see august :
natafuta mchongo wa madawa ya kulevya
2024-10-28 20:38:25
0
sharoninyana3
user4257812582452 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣john pumbavu zako mpk hio dunia hujanipea
2024-11-09 08:52:54
0
user01ke
Eliphas Mwaniki :
Acha hiyo
2024-10-26 00:13:37
22
sabato.mtulinga.a
sabato mtulinga A.K.A wa mauji :
siri yetu imevujwa
2024-10-26 03:33:59
16
b....m47
B...M👑 :
hivi huyu ni paster kweli😂😂😂
2024-10-27 14:07:16
0
petrokinyamaha
peter :
mzeee unatuchafua🤣🤣🤣
2024-10-28 18:40:50
0
isah_mahi
isah_Mahi :
isaya Tena????😂
2025-04-26 08:14:22
0
mussachuma1
mussa steel :
Mzee unatoa sili ya kambi sasa🤣🤣🤣
2024-10-26 18:24:48
16
_john_ke
JOHN :
Kaka john😂💔
2025-04-09 15:53:52
2
nashidaiddi335
Nashida Iddi@ :
😂😂😂😂😂isaya sasa 🏃
2024-10-28 07:51:35
1
mayya4222
MAYYA :
nani akafunge ndoa bila kuonja kitu anacho taka kumiliki yani asionje alafu akikuta togwa atamlaumu nani 😂😂😂😂😂wamama wenyewe tunasapoti vijana waonje kwanza mana mabinti wenyewe hawaeleweki 😂😂
2024-10-26 10:56:52
4
user3032149053652
Athanas Gabriel :
Mimi cyo nabiii lakin najua huyu mwambaaa alipokua kijanaa , alipita nao Sanaa🤣🤣
2024-10-26 03:01:10
16
aminahaminah2753
Aminah Aminah :
nawanakuaga wapole kweli😂😂😂😂
2024-10-30 18:09:38
0
simonjohnlegezamw
rina baby :
mpenzi wangu kaniambia kuwa kaota ndoto tumeachana kwahiyo imebidi nimuache kweli maana nilimuahidi tamtimizia ndoto zake😆 au nimezingua wakuu 😁😂😂
2025-03-19 19:57:28
1
damwa21
damwa :
shingo kama twiga
2024-10-30 11:59:38
0
pengo53
pengo boy :
uyu astor kabla ajakuwa pastor mmmh... ngoja nisiseme😂😂😂
2024-10-26 05:29:09
2
dorcas.mbizi
Dorcas mbilizi :
vraiment ya wa
2025-07-19 21:51:45
0
johndamasi
johnD :
why kaka john jameni 🤣🤣🤣🤣
2024-10-26 10:59:29
4
beatrice.kendi1
kendi tiktoker :
aky pasta Sasa kaka John ametokea wapi kwa his story niachie Jina la mwanangu😂😂😂
2024-10-30 20:42:03
5
To see more videos from user @sandeorise20, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About