@monsuly2: Ifike mahali moyo upumzike sasa khaaaa 🙌🏾🙌🏾 Wee kila siku unalia, Juzi ulilia , Jana pia na leo tena aaah🙌🏾 Ifike mahali ukumbuke ukuletwa ili uje ulie na mapenzi, Sehemu yako salama ipo, Nyamaza usonge mbele

Monsuly
Monsuly
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 April 2025 19:49:13 GMT
329902
27728
1123
1860

Music

Download

Comments

kidawa01
KIDAWA FILIM :
natamani kujua kwani TikTok huwa wanajua Hali tunazo pitia maana ukiwa kwenye Hali fulani basi lazima utakutana na post ya aina ya mapito yako
2025-05-13 05:57:31
67
robert.hassion.kal
Robert H.J :
Daaah kaka unasema ambayo yapo kwenye maisha yetu kaka daaa inauma sana
2025-07-16 12:02:39
0
neyfatfredy
neyfatfredy138 :
dah nimekuelewa sana kaka yangu
2025-07-18 19:20:12
0
adelinanjebela
adelinanjebela :
yaan ww kaka mungu akubariki sana akupe maisha marefu kaka
2025-07-14 17:02:19
2
user295487711462019
Mo9 and Nailah :
Kwaheshim kak japokuw darasan nilikuw sielew lakn hap nimekuelewa kak
2025-07-19 20:18:43
1
reencutie08
cutty.. mayra🦋🦋 :
daa najarib jmn n ngum alaf inaumiz san😭😭😭😭
2025-04-24 09:21:14
75
jaykim1912
jaykim1912 :
nlichogundua kumbe huku weng mnalizwa sana🤣 nkajua niko peke yangu nafrah kuwa na campan
2025-05-09 15:56:35
17
prettycindy254
pretty Cindy💋🌺 :
mapenzi yanuma💔 anyway am in the process of healing i really need a bestie🫂
2025-05-01 09:06:23
12
mamacareen06
mamacareen06 :
yaan we kaka maua yako chukua jmn yaan nijifunza xna kitu kwako🥰🥰🥰🥰🥰
2025-07-18 19:18:12
0
aysontz
Lizzie :
mpaka saiz niko nalia🥺🥺yaan ukiwa na stress mavideo ya hivi ndio unayakuta mengi lol🥺
2025-04-29 21:21:23
15
user3161295873340
user3161295873340 :
da yani maishaa ninayo yapitia ndio unayo yazungumzia apa ila kumsahau sasa da
2025-06-19 05:54:45
1
bujumichelle16
Lizzy michelle :
Yan ww kaka nakupenda san ulinifanya nitoke kwenye mateso magum ya mapenz,mpaka sasa naishi vzr maisha yangu mapy ❤
2025-04-24 16:07:27
41
charse_mtoo87
Charsemtoo :
kaka tunajaribu lakini ni ngum mno sio rahis 😭
2025-04-26 08:50:12
36
user5242000596762
160340 :
ngumu natamani iwe ivyo ila nashindwa😭😭😭😭😭😭
2025-06-21 21:37:48
2
user2708660719713
Baby apple 🍎 :
Mtu anakuja kwenye maisha yako bila hata kutarajia ila dahh anakuachia maumivu. Inauma sana 🥺🥺
2025-06-07 15:43:33
3
nicholausnadrack
ND dracullar 2525 :
Kweli kabc
2025-07-18 19:00:05
1
795214158pretty
PRETTY-b 🇰🇪vs🇸🇦 :
my situation right now 😭😭😭😭💔💔nampenda sana ila nisawa tu💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔
2025-04-30 02:19:46
5
user7333292868720
baby khai :
broo mtu mkigombn alf akawambia urudishe mapenz yake tena apo inakuwa na maan gani
2025-04-24 00:31:09
6
ashfaynislam
Ashfayn Islam :
bro umenitia nguv ujasir najion kabis nawez nawez kwa sas hii imenifut machoz na kupamban na maish ast allah azid kukuwek na akup mwish mwem nakukubal
2025-04-24 07:21:16
20
shazzy.sha78
Shazzy sha :
Asante 😭 nimelia Hadi nikachoka 😭
2025-04-24 08:31:10
3
habbity315
ام عبدالعزيز💕💖💖💕 :
😢😢😢😢😢😢nimeshindwa hata kufanya kazi imenifanya niwache kazi mapenzi mabaya wallahi
2025-04-23 21:41:26
2
user44417504415880
shakaina Gold 🌹❤️💯 :
Nilikuwa nangojea uniambie hivi tuu asanti saaaaaaaaaaaaana sitawai lia tena 😭
2025-04-25 23:20:51
9
morlymoh
MARI :
😔😔nimewachwa tena 😭💔💔
2025-04-23 23:53:30
7
ashurey137
ashurey;🌹🌹 :
nakupendaa san kaka angu huo unatfundsha vit ving
2025-06-17 17:13:27
1
dory3343
dory :
daah monsuly acha tu...moyo..Siri ya moyo...najuta..😭 ...ila naamn nitasahau tu
2025-04-29 19:49:09
3
To see more videos from user @monsuly2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About