huu wimbo umeniliza sana mpaka kichwa kimeuma jamani mulio na mama zenu muwashike kama mboni zenu mama yangu RIP
2025-07-20 04:41:17
0
PELINA 💝 :
KUMA YANGU IMETANUKA 😩😩
2025-07-18 04:27:50
0
saida :
mama kama mchawi usoni😂😂😂😂 mmemtoa kwenye mapango kuja kweny sherere
2025-06-14 11:47:29
8
hidayaboaz :
mama ni mama tu miez tisa n sir je baba angeweza ata miwili
2025-07-18 15:15:24
0
Aggy Tesha💋🌺 :
pumzk salama mama Ang 🥹, hongereni wenye wazaz watunzeni jmn
2025-06-12 12:36:03
49
neemamatucha :
Umekosea sana unatukana mzazi eti kama mchwii wewe kijana sitili ulimi
2025-07-18 12:52:39
0
user4918291253476 :
mungu wapunguzie adhabu za kaburi wazazi wng
2025-06-13 09:23:54
3
Cherish6874 :
19 mwezi wa 5 2025 nimempoteza mama yangu ,nakumbuaka nisiku nimefanya kazi sana baada ya kupokea taalifa za msiba nikiwa kazini na ilikuwa ni zamu yangu,,sijui nilipata nguvu wapi za kufanya kazi ila baada ya masaa ma5 kupita nilienda chooni nililia sana nilipiga kelele mnoo mpaka wazungu wqlikuja kunishangaa chooni
mama yangu kazikwa nimeshindwa ata kwenda kumzika mama yangu kwa umbali na dini ya kiislam awalazi maiti kwa sikuiyo nisingewahi kumzika mama yangu
moyo unaniuma sana mpaka sasa hii nyimbo inaniliza mudahuuu nalia sana
mungu mpunguzie adhabu mama yangu maana alikuwa tayalikufa kwajili ya kunizaa mimi,,