@muhimbiliherbalproducts: FAIDA ZA H.PYLORI KUANGAMIZWA • Vidonda vya tumbo na michubuko yote itapona • ACID REFLUX NA KIUNGULIA VITAISHA • HALI YA TUMBO KUJAA GESi ITAISHA • HALI YA KUHISI KIFUA KUWAKA MOTO KWA MAUMIVU ITAISHA. • HALI YA KUHISI KICHEFUCHEFU,UCHACHU MDOMONI NA KUKOSA APPETITE itaisha. INAPATIKANA KATIKA MADUKA YA DAWA DAR ES SALAAM.
kwa watoto wana tumia pia mi mwanangu anashida iyo na naipataje
2025-06-18 16:34:20
0
featy4realy🥰 :
wa Mwanza tunapataje
2025-06-18 18:24:37
2
richard chaula :
dozi yake kwa mtu mkubwa tsh ngap
2025-06-22 15:16:06
0
user2143817948073 :
dozi yake ni sh ngapi
2025-06-18 17:38:49
0
said amanzi :
inawezekana nina ugonjwaa hii dawa inatibu ugonjwaa gan?
2025-06-21 15:52:18
0
Kilumba Nyalu :
Wausika tunaomba hiyouduma isogezwe hapa katikati ya nchi nawale wamikoa yambali waweze kuipata kiurahisi
2025-06-19 08:53:03
0
wanjo 💞💋 :
me nashkuru MUNGU imepotea 🤲
2025-06-22 13:51:16
1
Samora Omari :
Mama anayenyonyesha anaweza kutumia??
2025-06-19 01:48:20
0
chioma :
Kikweli Nina chupa ya saba Alhamdulillah Nimeona matokeo nilikuwa najaaga tumbo kwa gesi saivi flatiiii hadi raha
2025-06-18 18:04:53
0
user1810795578153 :
Hii ni dawa tunaomba muwemakini na wachakachuaji
2025-06-18 16:08:01
0
Kv Dorcas :
Uko wapi
2025-06-18 16:02:37
0
Ekaely Pallangyo :
jmn mimi nimekutumia msg wsp nijibu naitaji dawa
2025-06-19 04:10:54
0
user1756100039046 :
gharama yake ni sh ngap
2025-06-18 16:48:53
0
Kennedy Barabara :
bei gani inauzwa
2025-06-18 21:55:36
0
jeska256 :
Mimi nasumbuka na Acid Reflux
2025-06-22 18:13:51
0
Mr's GK andasko.tz :
chupa moja sh ngapi?
2025-06-21 19:05:40
0
Mr.Ben :
mm nipo Mwanza mnauza kuanzia chupa ngapi
2025-06-18 17:38:17
0
Josephat Steven :
hii dawa bwana ni jembe aseee kooni kucheua mavitu machungu yame kwisha nimepiga chupa tu 5 ila nikawa mzembe ila jms naenda beba chupa 10 hata nikipona nakunywa tuu ninzuri nimeibiwa sana pesa na wajinga wa mitandaoni
2025-06-18 18:33:17
1
Aziza Lemu :
mimi nipo moshi napataje
2025-06-19 02:39:20
0
To see more videos from user @muhimbiliherbalproducts, please go to the Tikwm
homepage.