@jessynjoki:

jesseymsupa
jesseymsupa
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 19 July 2025 17:31:13 GMT
3104453
27249
1961
827

Music

Download

Comments

elviden2
elviden :
hii kazi ilifanya nikachukia mishiri,hata nikose job siezi Rudia hii, Green lands airport Wacha ikae
2025-07-20 09:55:11
1
user4683970159259
🙏🙏🙏🙏🙏 :
salary ni how much
2025-07-20 09:34:59
9
user8144180148043
shiii :
hii kazi nilifanya 8years vegpro wee Wacha tu
2025-07-20 22:22:28
0
42945607milcah
Mama milcah :
wenye walifanya frigo ya baba dogo mikono juu
2025-07-20 16:05:16
11
karash610
karash :
Kama huku ni Ngong Veg wallai walambwe macho na shetani🥲🥲1month walinilipa 21 shillings 😂😂😂
2025-07-20 11:33:27
26
coolbaibe2
💞Lioness 💫💫 :
Nilikua nataka kuulizia kaa naeza Pata vacancy,lakini kulinga na comment section I give up.nikama huko ni hell.wacha niendelee kuosha choo ya mwarabu
2025-07-20 13:42:42
12
chaaba_00
CHAABA :
Ile baridi inakuanga kwa hii nyumba acha tu💔😭 nimewahi fanya job hapa 15 years ago I think nilikuwa nalipwa 230 per night 😭 kusimama usiku mzima mpaka miguu anafura ,mwili yote Ina freeze juu ya baridi💔 sio easy wadau. plus kina judas ndio wengi uko kujifafanya vile wanajua kazi na kufika mapema😭
2025-07-20 06:41:37
22
mah_kyle
Anne :
nlifanya hii kazi back in 2014 Finlays pack house...hata Kwa dawa siwezi Rudi huku heri niikuwe understanding house wife.
2025-07-20 06:51:48
53
judylove134
J❣️u🫠d🤗y😘l❣️o🍇v🍓e :
nilifanya huko siku moja usiku hata pesa sikurudia, pale Baba dogo wacha tu😂😂😂😂😂😂😂
2025-07-20 12:51:57
0
roady511
roady :
hii kazi nilifanya Vegpro 2008-2009 nikapelekwa cold room kwa ice🤣wacha Mungu aitwe Mungu, umbali nimetoka.
2025-07-20 06:29:53
7
user4467706706561
mamake@cayla :
i worked for one day I was paid 470 and run like cheetah never
2025-07-20 09:10:56
149
user7154151670900
user7154151670900 :
You are doing a good job. however please wear gloves ciz you are handling food
2025-07-20 07:22:36
6
mnjoki_
Njoki :
Am curious, why put the knife in the water every time you cut
2025-07-20 05:23:20
37
wairymo
Nimu David :
comment section mnafanya nijione kama mimi si mkenya
2025-07-20 07:15:52
17
raicie_k_1820
Raicie :
kama hujawai Fanya kazi uku wewe bado hujateseka Nairobi 😂😂😂😂
2025-07-20 06:18:47
201
regina.bebgal
Regina bebgal 🥰❤️ :
wenye tulienda Kenya fresh 2weeks tukasare mikono juu😂😂😂🤣
2025-07-20 19:33:38
0
odeklili
Lilian :
tulikua tunakata na vidole za mkono uko baba dogo,ile uchungu yenye mtu alikua anafeel wacha tu😂
2025-07-20 06:50:53
2
fredy.tush8
Fredy tush :
hii kazi nilifanya meru greens pale Epz,,mwezi mzima nililipwa 234
2025-07-20 16:54:45
4
fionasambi
FionaSambi :
where does the cuts go?
2025-07-20 09:58:42
4
magdalineodit
magdalineodit :
nlienda kufanya huku aki nlitoroka saa ya lunch the same day😂😂
2025-07-20 11:35:57
23
mercylinewanyama4
Mercyline Wanyama :
hii kazi nimeifanya wacha tu ...huko ngong verge kisierian
2025-07-20 09:15:22
2
ruth.mburu29
Nyokabi mburu@234 :
my first Job at Nicola Farms Maragua
2025-07-20 09:38:58
5
muriithi663
MamaNyaga/Clara :
hii kazi niliifanya for 2 years ,lemmi tell you,huku siezi rudi😅😅😅😅
2025-07-20 13:26:21
5
nya.ndu.ko049
Aggie♑♏ :
kwani kila mtu comment section amefanya hii job 😅😅😅😐😐
2025-07-20 04:30:29
158
lydiahmuhanzi
Lydia 🦋😇 :
nimefanya hii kazi but hii ya kukata 😭😭niliichukia Sana 🙄, but since you have nothing unajukaza Tu
2025-07-20 09:17:47
3
To see more videos from user @jessynjoki, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About