Isaya 60:11 Malango yako nayo yatakuwa wazi daima; Hayatafungwa mchana wala usiku; Ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa, Na wafalme wao wakiongozwa pamoja nao.
2025-08-07 22:27:56
321
ZaxPhD :
sala ya BABA YETU ULIYE MBINGUNI
2025-08-07 06:51:12
197
sab Dee :
zaburi 71:1💪
2025-10-27 15:50:35
0
Esther.j.vany :
Mungu afungue milango ya baraka 🙏
2025-08-09 15:19:33
0
Nûél 7 :
kila nitakacho kishika ukakibariki nipe kibari kila nitakapo kanyaga
2025-10-02 06:57:58
0
IT'S trishey🦋 :
zaburi 51
2025-10-07 05:14:32
2
Hehe girl :
hakuna sara ina nguvu zaid ya BABA YETU ULIE MBINGUNI
2025-08-07 10:21:51
95
ireen_lingerieaccessorie :
Zaburi 23
2025-09-24 19:46:00
2
Nancykashnj :
Zaburi 90:17🙏🏾
2025-09-12 14:21:49
1
lizzy_outlook :
Isaya 48:17🥰
2025-10-03 05:43:02
1
rosemarykiogolo97 :
Mimi Ayubu 38:1 je umeiamuru asubuhi tangu siku zako zilipoanza? Umeyajulisha mapambazuko mahali pake?
2025-09-01 18:21:55
4
Agness Kaaya :
ata mm ni hiyo hiyo afu huwa naisoma hivi "MALANGO YA DUKA LANGU YATAKUWA WAZI DAIMA HAYATAFUNGWA MCHANA WALA USIKU" afu nasali nyie tumuamin Mungu
2025-09-17 10:04:47
1
itscar.ryn😍 :
Sala ya asubuh & Nia njema…RC
2025-08-09 11:53:13
4
Swirry Triss Hair :
Kumbukumbu la Torati 8:18 - Bali utamkumbuka Bwana, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.
2025-08-07 08:16:25
75
Sarah :
Mimi Leo nimekurubpuka walahi hizi kazi za watu 😢😢😢l can’t wait kufunguwa office yangu
2025-09-08 11:21:55
1
queen dodo🥰 :
zaburi 118:24
2025-09-19 17:17:42
4
Minah🥰👑🔐 :
mi naamka saa kumi naanza kusali
ZABURI 51:1 yote
ZABURI 112:1 yote
ZABURI 23:1 yote
2025-09-09 07:59:23
2
user2891730386219 :
Sala ya asubuhi na Nia njema from Catholic 🥰🥰
2025-08-08 04:35:31
15
Mary Mbwambo :
Natumia zaburi ya 23 ,then sala ya Baba yetu uliye mbinguni nikimaliza naenda mihangaikoni.
2025-09-04 12:07:03
1
Grace :
Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu
2025-08-07 12:41:59
3
jimmy jons :
tuwe marafiki huo mstari ndio nao uomba Kila napo enda kazini "Malango yangu yatakuwa wazi usiku na mchana ili mataifa waniletee utajiri"
2025-08-07 06:44:52
33
Rania 🥰🥰 :
Zabur 23 na Zaburi 91🙏
2025-08-07 08:21:20
17
user49032455839860 :
baba etu ulie mbinguni jinalako litukuzwe
2025-08-07 09:36:59
7
Captain Tesha :
Sala ya Asubuhi Roman🙏🙏🙏 THe BEST EVER 🙏🙏🙏🙏🙏
2025-09-29 19:46:29
0
Da sylivia💟😘😍 :
CHA KWANZA NAKALI ZAMBI KISHA NASHUKURU THEN NAZIOMBEA NJIA NITAZOPITA ZIWE SALAMA AMEN.SISAHAU SARA YA M.T RITA WA KASHIA YA KUOMBA MCHUMBA MWEMA.
2025-08-08 10:40:14
2
To see more videos from user @brandingbibletz, please go to the Tikwm
homepage.