@sultan_alsnawy:

SULTAN๐Ÿ‘ณ
SULTAN๐Ÿ‘ณ
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 13 August 2025 05:16:26 GMT
172447
7364
341
1841

Music

Download

Comments

bravedeone
Brave De One :
Ndoa aliyojivua inarejea
2025-10-29 05:35:43
0
zainabumisanya
Mama ilhaam :
shehe naomba kuuliza kukaa na mama mkwe nyumba moja muda mrefu inaswii
2025-08-13 18:27:57
4
rokhay978
Bint Allie๐Ÿ‘Œโค๏ธ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ :
sasa Mimi kanirudsha kwetu na alinmbya Kweny cmu kaniacha mm cyo mkewake na nimkome hyo c talaka tayri au๐Ÿฅน!!!
2025-08-14 05:54:31
3
adelove583
adelove583 :
yaan umpe mahari hapo umeshamzalia na watt ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณmbn uonevu huo na nyieee??
2025-08-14 07:29:14
0
acho3160
Many :
Kwani mahari ni ile wanapokea wazazi au anayotamka binti mwenyewe msaada tafadhal
2025-08-13 18:56:24
3
ukhtydee408
Dee _ cake & fashion :
๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
2025-10-11 21:04:30
0
bintishekh7
BintiShekh :
Kuna mmoja alijivua sahii anamsumbue mume ety yuwataka kurudiwa tena mke wa pili๐Ÿ˜”๐Ÿ˜” Jamani
2025-08-13 15:34:12
0
buhar8054
Buhar :
๐’”๐’–๐’ƒ๐’‰๐’‚๐’๐’‚๐‘จ๐’๐’๐’‚๐’‰ ๐’Ž๐’๐’๐’‚ ๐’‚๐’๐’Š๐’†๐’‘๐’–๐’”๐’‰๐’† ๐’๐’‚ ๐’•๐’‚๐’๐’‚๐’Œ๐’‚ ๐’ƒ๐’‚๐’…๐’ ๐’๐’‚๐’Ž๐’˜๐’Š๐’•๐’‚๐’‹๐’Š ๐’Ž๐’–๐’Ž๐’† ๐’˜๐’‚๐’๐’ˆ๐’– ๐Ÿคฒ
2025-08-15 19:55:12
9
user3627650185863
user3627650185863 :
naomba nitumie
2025-10-22 07:23:14
0
user210814602126
user210814602126 :
shekhe mm sijawa tayari kumua cha nampenda mkewangu ila yeye hanitaki na anasema Sina pesa ya kukupa ww je kadhi atafanyaje
2025-08-20 16:23:51
1
user50699194456735
Raj @hmed :
video hii inamambo makubwa ya kisheria lakini umeniudhi sqna kuizuia video tuidownload
2025-10-13 16:57:35
1
mattyyussy
๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ชmattycute๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿ˜œ :
je mtu akipewa talaka mbil hameachwa
2025-09-24 16:21:15
0
zahor.nassor
BAZAAR HARDWARE :
๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
2025-08-13 06:03:29
0
tz123fisi
๏ธ :
Baaas! ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
2025-08-13 12:08:27
0
nembulisingware
kipenzi :
anaejua hii anielimishe tafadhali, talaka ikiandikwa inatakiwa itamkwe au hata akikukabidhi bila kutamka nimekuacha iyo inakua imepitishwa? au inakua batili?
2025-08-13 13:44:56
1
nihany59
nihany :
shekh mm nigombana na mume nikaondoka hunimwaka sasa naniliondoka mmtu nawatt vutu vyangu sijachukua nimeomba talaka haja nipa mpakasasa jenikijivua ina swim shkh
2025-08-16 09:45:09
0
blessing.samira
blessing.samira :
Na wenye tulisema mahari yetu na hatujawahi pewa tufanyeje mume wangu hajai nipa mahari namridishia nn
2025-10-01 15:35:36
0
ajy.designer
ajy designer :
na akiwa ajatamka kukuacha ila mahal kapokea io inakuaje?
2025-08-13 13:04:41
2
mamake.watu3
Mamake watu :
naomba like nmeitwa nkija nsikize tena๐Ÿ˜ญ
2025-08-14 14:11:02
2
nanaa5215
nanaa :
naomba mtu anitumie hii inbox coz kafunga video
2025-08-13 17:19:13
1
ishakaathanii
is_haka :
Tumelewana san
2025-08-14 18:50:47
1
mrskasijao3
Cute girl๐Ÿ’ƒ :
namba unitumie hii ndugu yangu
2025-09-20 09:07:25
0
jaukhariyy
jaukhariyy :
Talaka moja inakua
2025-09-16 17:53:56
0
yasmin14401
Yasmin ๐Ÿ :
Kwahy sas ndo nishajivua ndoa baada ya hedhi kuisha uyo bwana inawezekana kunichumbia tena
2025-08-31 12:28:56
0
mrs.smile716
Mrs smile :
sa akitak kurudishiwa talaka kama tumezaa watoto wanakuwa wangu au na baba yao
2025-08-22 15:03:10
0
To see more videos from user @sultan_alsnawy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About