🤣🤣🤣woiye maheni maheni try this at your own risk,,,Niko nazo and let me tell you maina😭😭😭
2025-09-03 05:43:57
69
Morax :
iyo market ya 400 Iko wapi na farmers wanauza 330 home kwetu.
2025-09-03 02:53:25
101
J Marto :
But you forget the costs of labour and bills....and the 6months feed and care before they start laying
2025-09-02 19:41:36
97
HUSSEIN (tall,dark n handsome) :
Francis 😭no more comment nikijua kuku zangu zimekaa 6 months mbila kutaga sababu ya baridi.
2025-09-02 23:08:00
13
king Josiah :
A whole month nifanye iyo kazi yoote ni earn 15ksurely?
2025-09-03 02:07:59
15
LuckyM USA :
Huja toa your salary na overhead cost. Kazi ya kuku ni hasara.
2025-10-25 03:12:04
3
yese :
tray ni 300 to 320 hii yako ni imaginations kababa
2025-09-03 16:34:30
4
Frank G senior :
eggs per tray ni 300..unless achemshe azurure nazo kwa bar..
2025-09-03 04:48:07
39
Alice N. :
uongo uza cages bila kundanganya watu. since day one to 5months what's the cost.
2025-09-03 03:36:28
6
anne mburu :
kwa iyo 100chickens hakukosi 20 zitachoshwa na dunia😏
2025-09-18 18:03:47
1
Jimmy Palmer :
kwani Hakuna vaccination? maji??
2025-11-05 06:25:05
0
Ken Kariuki :
hesabu dead. kwa 15k kuna maji kuna mtu wa kazi kuna transport kuna hio soko yako ya uongo. afadhali kasongo wakutenga aki😅😅😅
2025-09-03 09:51:07
16
BossKenya :
kati ya ngombe,
mbuzi za maziwa na nyama,
ama kuku.
ni gani more profitable
2025-09-03 06:42:21
4
Babake ipty :
nilipigishwa hesabu kama hii nikabuy ma3. niulize chenye niliona
2025-09-04 13:12:30
0
Kento :
leave alone kulipa mtu wa kazi....Kuna zile mayai huvunjika... mbona haujazi hesabu??
2025-10-30 18:59:06
0
user71581185245818 :
nfanyi kazi hujamlipa
2025-09-10 17:06:03
1
Dr. Haron Reuben :
Mombasa tray moja ni 410
2025-11-02 17:08:59
0
j & A collection company :
ati Mimi sitengi mko Na mambo kila Mahali siasa
2025-09-03 03:48:07
3
$ymo :
dawa nazo😳🤔ama unazipea pilipili
2025-09-19 07:32:58
1
Miss TN :
Ok,so kuku 100 na faida ni 15000,means kuku moja kwa mwezi faida ni 150 bob.Not worth
2025-09-02 22:42:01
5
Murutani Phil :
hii ni uongo ... wakikuyu nao na uongo ndio wauze vitu zao.. si auzie watu cages bila kuhenania...
2025-09-03 07:08:16
1
Nimo G Legit Home Ware :
kwani zitakuja kama zimeanza kutaga?before zianze kutaga zitakua zinakula nini?
2025-10-29 09:58:05
0
wangareh64 :
huko wapi mayai 400?ground ni different. mundu niagerie
2025-09-03 03:48:11
2
Tony :
simple calculation gunia moja ni ya 70kg 100 hens consume 5gunia at 30days they will consume 70kg×50=350kg/100hens.that each hen will consume 3.5kg per month.which is impossible
2025-09-04 02:22:55
5
jose9513 :
Watu sio wajinga bana..
2025-09-03 19:17:58
0
To see more videos from user @docfredcomedy, please go to the Tikwm
homepage.