@matukioonline_tv: Samia Suluhu Hassan (alizaliwa 27 Januari 1960) ni Rais wa 6 wa Tanzania na mwanachama wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi. Kabla ya kuwa rais kutokana na kifo cha John Magufuli, kilichotokea tarehe 17 Machi 2021, Suluhu alikuwa makamu wa rais kwa sababu ya kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 Je una maoni gani?
kanapika 🤣🤣, kanafua 🤣🤣 ila bibi umenifurahisha sanaa inavyoongea 🤣🤣🤣
2025-09-05 15:00:12
182
Kingdom Queen :
ila Mama Samia mzuri nahisi familia yao wote wazuri sana🥰
2025-09-05 18:11:07
130
💦modee said💦 :
wambongo wanafiki kwenye mtandao wanamtukana Samia akija live wanajaa kama nzi
2025-09-06 04:06:47
54
D :
Bibi anazeeka na uzuri wake
2025-09-05 14:45:54
108
sabunitv1 :
baba ake yupo hai?
2025-09-07 06:08:03
2
user8124209461149 :
Kanafua kanapika kanatenda kazi vyema,,nika dude gani ako🤣🤣🤣🤣🤣
2025-11-03 16:28:33
5
G wa uswaz Tz🔘 :
huyu bibi anadharau au ndo uongeaji maana kanatenda kazi kanaenda kisimani
2025-10-06 23:38:59
5
Amani🇹🇿🇰🇪 :
bibi tunakuheshumu sema hiki kituko kimetushinda tabia.hatukielewi
2025-09-05 23:27:37
18
M@m@ Y@sir.🦋💞💓💞 :
Malezi yake ndo ivo ivo mnavyomuona....msichokielewa hapo nn🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-09-07 11:34:39
25
hilda 🥰🥰 :
wakizimkazi wenzangu twenndeeni bc
2025-09-20 19:52:09
1
userpapitho :
MAMA SAMIA MITANO TENA✅️✅️✅️
2025-09-05 21:42:29
17
Tanzania Bike :
Dkt. Samia tuna Imani kubwa sana na yeye
2025-09-06 05:53:35
7
bin@mour.. /71 :
October tunatick kwa mama ✔️
2025-09-06 09:30:43
1
Ahmed Aleyy :
Huyu mama kama anaijua dini angemkataza Samia kutaka urais sbb haifai mwanamke kuw kiongoz
2025-09-06 01:56:10
10
Zuwena Iddi :
Umetuzalia mtoto mwema Zanzibar sote tunampenda mfanana sana
2025-09-05 20:14:20
3
maria goreth :
kanakopa sanaaa
2025-09-06 22:22:45
2
tochi :
mimi ni mkenya mama ila baba mtanzania sioni ubaya kwa mama Samia hapa kapata kwangu Mtano tena, mashallah sirahisi kusimamia wanaichi lakini mama kaweza wanawake oye hogera zetu ❤️na hao wanaye tusi hawana adabu wako kama wakenya kwa matusi
2025-09-06 06:42:22
17
Its_y⚽️ur_b⚽️y :
Kiswahili cha shamba sio pemba
2025-09-06 05:06:35
3
ERICK CHRISS✅ :
Hiii jamani kumbe kalikuwa kana juhudiii SASA bibi je kwenye magetoo ya wahuni kalikuwa kanaendagaa???....😁
2025-10-01 10:44:43
1
Asia Mussa🦋🌸❤️🇹🇿 :
Mama tuna tiki 👌🏼
2025-09-06 09:40:59
0
user8320397267122 :
sizani kama kuna mwanamke atakuja kubahatika kama mh.samia
2025-09-08 08:21:33
6
Doctor :
MAMA MZAA CHEMA MUNGU AKUWEKE UISHUHUDIE MI 5 TENA ILA BORA HUJAMLEA WW MANA NA YY ANGEKUA HAJUI KISWAHILI KAMA MAGUFULI LAKN DADAKE KAMPA KISWAHILI
2025-09-09 23:13:17
1
To see more videos from user @matukioonline_tv, please go to the Tikwm
homepage.