@gng.travel: Karibu Tukuhudumie

gng.Travel
gng.Travel
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 September 2025 12:45:45 GMT
363374
6058
514
236

Music

Download

Comments

dr.motto50
DR . MOTTO :
dar-mwanza 308,000😆 bora nipande katarama tutapishana masaa tu kufika dar
2025-10-17 10:40:23
24
ellyben2
Elly ben :
hv ni lazma kuwa na passport ukisafiri ndan ya nchi
2025-10-28 09:40:49
1
berthaedward69
Mtoto wa mama🥺🥺 :
yaan mwanza to bukoba nilipie 140000 daah bora nipande zangu isamilo 28000 nitapambana na wauza vitu madilishani☺️☺️☺️☺
2025-10-22 15:37:07
5
user7421509105693
tonyboy7 :
ukitaka before wiki mbili inapungua kidgo au ndo ile ile
2025-10-28 10:18:21
2
proudofyou138
Am Proud of you❤❤ :
inshallah nitampandisha mama angu🥰
2025-10-18 16:45:34
3
deogratiusyudatad
deorgatius :
hivi naomba kuuliza ukiwa na mtoto mdogo mwaka mmoja na yeye unalipia siti yake au msinicheke sija wahii kupanda ndege🤣🤣🤣
2025-10-19 08:21:21
8
user1196901873581
charii mweussi 🌚🌚 :
kwani mwanza 300000 siend
2025-10-01 12:53:08
5
franksena02
MASHIMBA :
bei za mtandaoni ni nzuri sana...ila tukifika ofisini zenu daaah.....mfano mwanza to dar hapo mmeandika 308,000 nmeenda ofisi zenu naambiwa laki 6.
2025-10-01 20:18:42
3
loveness2490
🦋Butterfly girl🦋❤️ :
Dar to kahama 319000 awee @SHIGAKA BUS IPO 70 tu nafika 😂😂😂😂😂
2025-11-05 10:29:30
1
user6633329597416
ben N.D :
kigoma Dar na Dar kigoma inaweza kuwa bey gani
2025-10-20 08:21:13
2
zaythan3
Thana❤️ :
eya angu ya Kodi kazini na nyumbni mieezi mitatu mtu anarukia juu 😭😂
2025-10-28 14:57:16
2
loveness3610
Veegirl🥰 :
amna ya efu 50
2025-10-19 15:36:35
1
user98208770303465
eugenjohn6 :
MBONA HAMNA NAULI YA DAR KIGOMA
2025-10-20 13:04:26
3
konzianagabriel
konzianagabriel :
amuna mbeya mwanza jamn
2025-10-22 17:01:43
6
middle.jr10
Middle jr :
mwanza to KIA
2025-10-27 20:03:06
2
ancy13
ANCY :
iyo 415000 Bukoba ni kwenda na kurudi au ni trip moja
2025-10-16 15:05:13
1
anger864
angel864 :
kumbe dar 2 kaham ni lk3 na 19 ngoja nifany buking mapema mwez 12 na mm niwe juu ya mawing
2025-10-26 18:17:23
4
maggie.doroth
Maggie :
mbeya hakuna
2025-10-28 13:37:53
2
jumakitongoroma1
juma kitongoroma :
ni kila siku ama buking
2025-10-19 09:37:22
3
silaji.kahiyuzi.ak
Silaji Kahiyuzi akili :
Dar bukoba huu ni mtaji kbsaa aisee 🤣
2025-10-01 20:13:03
2
user9182315346218
[email protected] :
dar to Arusha??
2025-10-24 16:02:59
3
user5813593749136
farida.singaple :
uwanja w ndege waw wpi jmn
2025-10-20 23:04:54
2
esterbwittfsaloon0
Esterbwittf saloon :
dar msoma bei gani nianze kujikusanya disemba nipande
2025-10-19 13:44:30
2
milkavicent1
Milka🥀🌹 :
ivi mpaka uwe na nida ndo upande hii kitu au
2025-10-25 08:42:40
1
immaculategeorge87
Immaculate George :
dar-mwanza niki booking sasa hivi had December inakuwa ngp
2025-10-28 10:37:18
1
To see more videos from user @gng.travel, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About