@doc_stelome: #Relationship

Doc Stelome
Doc Stelome
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 02 October 2025 16:35:44 GMT
123622
7607
410
502

Music

Download

Comments

sweatymumy
mom bri💕 :
niko kwa long distance relationship and am happy, it's all about understanding and maturity.
2025-10-04 06:28:50
133
wanjikujaydens
WanjikuJaydens :
block unblok😩😩😩 ..makesi daily .share scren😂😂😂...cheating 😩.,. 😭😭😭
2025-10-02 16:44:12
79
user37350490474014
MinNyambu :
sasa ukiwa USA na umeacha mtu wako Kenya iyo mambo ikae kando ama
2025-10-22 19:02:41
0
keisymamake254
Wàñg'úí💖💖Kàçy♥️♥️ :
Sasa wenye tuko gulf tufanye nn 😂😂😂😂tudate akina nani😂😂😂
2025-10-03 21:52:34
14
dennoxmorwabe
Dennoxy52 :
long distance relationship is just wasting of time😅
2025-10-02 17:21:54
39
user2902602631813
@joycemwangy :
niko eldoret ako nairobi hio ni long distance kweli
2025-10-12 10:20:23
1
user688636817
Gladys :
siezi mwacha uyu
2025-10-30 15:41:27
0
shishrene
Irene :
long distance inaazanga na how many kilometres ngapi nijue ka hii yangu ni long..😂😂😂
2025-10-02 17:26:19
20
deborah.anyah
it's deby 💕 :
10/10 mko wapi
2025-10-02 17:11:48
3
treasure.nyambu
Wolf Goddess 🐺🐺⚡⚡ :
sasa hapo kwa kumature maybe I'm not tueke kando,,,,but hapo being faithful and loyal wueh inaniuwa,,,coz tell me why proving myself and ending up being hurted,,,ety Nani ajui simu iko na options za deleting😩😩😩😩mm kwisha
2025-11-01 15:40:35
0
ehief.economist0
Chief Economist :
I tried to be loyal to one, kila saa ni kutuma messages with no replies, Wacha nikae tu huku kwetu😂
2025-10-04 17:36:37
2
stevewahome75
tillencrook :
sure
2025-10-25 16:48:22
0
1964nice5
MERCIEFUL LADY💖 :
wee ndiyo unatudanganya sasa😅
2025-10-21 12:07:31
1
favoured_lucia
favoured_lucia :
ata mkiishi Kwa nyumba moja wewe kama niwa kugogewa utagogewa tu ata ukiwa hapo.
2025-10-20 12:22:20
4
stellahwafula532
stecy :
wacha nikaee kwa long distance juu hata nilichoka na mapenzi
2025-10-02 20:35:07
5
josephkuria02
Joseph Kuria287 :
walai kugongewa n real🤣🤣🤣
2025-10-03 15:54:35
4
essie_sounds
Wanjirû🎤 :
heri Ivo nilijitoa😂😂😂
2025-10-23 14:27:17
1
alekimwaniks
Alex mwaniks :
umetuuwa walai wenye tuko gulf
2025-10-19 11:48:50
1
felixodiwuor568
Felox pozze59 :
am going all through these
2025-10-17 07:42:03
0
nyamweyajnr001
anko❣️ :
am mature ,,faithful and loyal ongeza yenye siko
2025-10-21 18:09:17
0
melosa.anyash
melosa anyash :
mimi niko gulf n umbwa iko kwa kasongo let me tell you maina nimegive up 😭🤣🤣🤣🤣🤣 cases daily acha nisake doo kwa Amani kugongewa n constant
2025-10-04 15:56:01
2
kimuu28
Key~Muu399 :
long distance labda nijarbu Trade pekee😂
2025-10-12 08:51:41
2
user5877490230832
Ritah chrles :
BT yangu sai ni tuko 4th year . BT he is mature,loyal and faithful same to me . huwa ananitumia pesa naenda namtembelea ,alinionyesha Kwa wazazi wake
2025-10-20 11:56:59
1
maggywamboi668
Tiana🥰💞💞 :
Team gulf gather😂😂😂
2025-10-04 13:42:21
0
To see more videos from user @doc_stelome, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About