mwenzangu nimemuachia ng'ombe naomba nae apate mapacha huu upendo kiukwel sijawah ona MUNGU jibu maombi ya huyu dada
2025-10-09 02:57:58
56
🌸Golden girl 💕✨💫 :
Uyu dada amechangamka adi ananipa raha 😂
2025-10-24 08:17:51
1
Stitch Designx :
nani kasikia hamna matoto
2025-10-08 13:19:34
47
user8010977368062 :
Kupitia hawa namm napokea mapacha 3
2025-10-08 03:38:27
265
It's LG :
basi shida ipo kwa mshua kama hadi mke mwenza nae hazai
2025-10-08 04:38:14
54
peter mipawa :
😃😃mbavu zangu jamn et mapacha mara dable dable
2025-10-21 04:28:24
0
candylicious858 :
She is a beautiful soul 🙏🙏🙏😅😅😅😅she is so happy 🙏🙏🙏
2025-10-08 07:05:17
61
biyana :
tunge kua Wanamake wote tupo hivi tunge shinda vita zidi ya Wanaume
2025-10-08 13:02:19
26
Cathy :
waumin wa mwamposa wamepinda😂
2025-10-09 10:23:34
3
Winfridajonath :
Ee Mungu mimi siwezi hii nisamehe yaan😅😅😅
2025-10-08 07:41:59
7
Mrs fedrick ❤️🥰 :
Mungu anisamee mm siwez kumwombea mke mwenzangu😂
2025-10-08 08:44:46
5
👑🇰🇪 :
nimeshangaa jicho limenitok 😯😯😲
2025-10-12 13:23:31
1
Anthony Mayala :
nilijua tu hawa ni familia ila familia yangu nyie Daaah
2025-10-08 05:12:46
10
samiamazoea❤️🥰 :
Ukutr mwanaue hazalishii😅😅
2025-10-10 19:17:21
0
Safina John :
hadi sasa wanawake wenye roho nzuri tumebaki wawili😂😂😂😂😂
2025-10-08 20:34:18
2
Ester Munisi :
Ila mkristo ni mke mmoja
2025-10-15 08:08:42
0
Naomie 💗 :
nimecheka Kwa nguvu eti mke mwenzangu wee shindwa pepo
2025-10-08 14:04:48
10
upendo classic disginer :
Dada anaimani sana na watapata watoto inamaana hapo tatizo atakuwa nalo mwanaume kama mke ana miaka 11 na bado kuna mke wa pili na wote hawajazaa basi shida ni baba apokee uponyaji kupitia imani ya mke wake.Mungu atawabariki watapata watoto
2025-10-09 06:06:49
9
nnie.,, :
uyu kachanganyikiwa sio ivi ivi 🤣🤣🤣
2025-10-08 04:55:30
14
masoo.com :
Wakati me mke mwenzangu ananitafuta anipige mwenzangu anaombewa😅
2025-10-08 06:53:56
0
Veronica Hollela :
Natafsiri: ukapokee mapacha wawili na mumeo akazini na kuzaa🤗.Mdada anaongea kwa sababu hajaijua nuru bado si kosa lake.
2025-10-08 07:54:35
0
morgan mog5/8 :
Mwanamke wa kipekee sana huyu anamoyo wa upendo mnooo 🥰
2025-10-08 18:39:30
13
mama B :
ana moyo sana na upend juu🤣
2025-10-08 04:48:46
37
nyangeta Kubigwa :
Nalipenda kabila langu love you 💖💖💖 Kanda ya Victoria 😂😂
2025-10-09 04:18:21
7
To see more videos from user @upakolive, please go to the Tikwm
homepage.