kwani sisi tukiolewa haturuhusiwi kufanya kazi sasa tunasomeshwa kwa faida gani🙄🙄🙄
2025-10-13 04:05:24
182
Focus :
good man kazi ama ndoa Mimi iyo kabisa
2025-11-14 04:14:57
0
Hamida Issa Hemedy :
mume akinijali mahitaji yangu yote kazi sifanyi nitamsikiliza maana pepo yangu Iko kwenye nyayo zake YaaRabi mjalie mume wangu apate kazi
2025-10-13 11:22:35
319
Gaspard Jures :
partie 2
2025-11-11 04:41:14
0
Dhul nurein :
lakini ushauri wangu wanaume tusiotaka wake zetu wafanye kazi tusioe wanawake wasomi mbona wapo wanawake wengi hawajakanyaga shule.
2025-10-13 12:45:14
353
Azizah hasheem2 :
Chagua kazi🤣🤣🤣utanishukuru
2025-10-12 16:02:50
237
zulekhajihadi :
mm cwezi kuacha kazi wanaume wapo kwa foleni
2025-10-12 19:52:38
89
madam_sabra_bridal :
Wallah ukipata Mume km huyu anaekumalizia mahitaj yako yote wallah kaz sio muhimu ni kulea Watoto wako na Mume wako tu
2025-10-13 08:03:36
64
Queen Patrick :
Oa mke wapili bwana nini maana ya dini
2025-10-13 03:59:56
78
Engineer ABJ :
Mi. Mwanamke akisha nisonya tu ndo mwisho wetu apo apo..
2025-10-13 04:03:58
347
Rerschoe :
Bro, maudhui ya hii clip ni makubwa sana na yanataka muendelezo ya EPISODE AFTER EPISODE my opinion kaka iendeleze hii inaweza hata kufika episode 20 🥰🥰🥰🥰 hii movie ni kali sana kaka, hata kama ni kuongeza wausiks, natamani kuona huko kazini kwake, na maisha ya watoto na atahari zake, na hatima ya ndoa, kaka endeleza hii movie kaka usiikate wallahi 😁😁😁
2025-10-13 03:24:23
83
……..Linner ☘️💞 :
Hii Ni roho mbaya Na unyanyasaji wanaume wengi hawapendi maendeleo ya mkewe 😏
2025-10-16 11:01:19
17
gollandboy :
ss kama ww ni mwanamke wachagua kazi bac piga like hapa niwajueee
2025-10-12 18:35:25
196
user46941371100136 :
chaguwa kazi à Hana nawana ume mashetani
2025-10-24 06:25:37
1
Ibrah_bazooka :
Kazi kubwa ya mwanamke ni mwalimu Kwa watoto wake na mlezi wa mume na kazi zake.kwa kifupi yeye ndie bosi
2025-10-14 03:21:31
15
Zulfat :
Mungu anijaalie mume wa kunikataza kazi niwe mlezi wa ndoa.
2025-11-03 11:39:02
8
super girl :
wanaume akifa je
2025-10-16 15:01:09
2
macky15maggie :
ukitaka kujua wanaume NI viumbe hatar Acha kaz kaa home utaona dharau Aina zote🤣 SASA Bora NDOA iwe mwisho
2025-10-13 07:40:01
3
Gkk Gloire kas kab :
next part💓
2025-11-13 03:58:13
1
Ashiraf bakuye :
Mwanaume inabidii uwe ivyo lkn din inasema ukinyimwa tendo LA ndoa Mala Tatu talaka tayali
2025-10-13 02:58:04
9
marrygodfrey359 :
Wa kwangu alikua hv hv na alikua mume wa mtu nikarud nikaacha kazi baada ya miezi mitatu akanifukuza kisa nililala sikuisikia simu 😄😄
2025-10-12 19:15:14
16
jaiver :
mwana mke hata asome vp mwisho wake ndoa kitandani
2025-10-13 09:26:00
7
Angel 💕😘🥰 :
saa hizi nitachukua ndoa kwa sababu sina kazi😅😏
2025-10-18 14:59:59
3
sun city :
Dini kitu gani warabu wenyewe wafnaya kazi Bibi na bwana amkeni
2025-10-13 16:16:33
29
To see more videos from user @jimbo_media, please go to the Tikwm
homepage.