@djaus_djwakusini: ENGLISH YA MZEE ILINYOOKA SANA #happynyerereday

Rdj_aus
Rdj_aus
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 October 2025 16:10:53 GMT
263182
7893
313
598

Music

Download

Comments

zephaniasuluba
Zephania Suluba :
Tanzania ilishakuwa na Marais watatu Nyerere ,mpaka na Magufuli tu ..
2025-10-16 06:45:20
92
ericksthegreat
erick klyian :
tuwekee na English press ya Samia please
2025-10-16 21:00:28
1
mkuliajrjr
Ngasa1993 :
rais ni nyerere tuu na kikwete,
2025-10-16 11:50:20
10
benard.mwakalyely
BENARD MWAKALYELYE :
nyerere na magufuli walikuwa rais wa afrika, mwinyi na mkapa qalikuwa raisi wa Tz waliobaki ni marais wa Dar🤣🤣🤣🤣
2025-10-16 17:47:30
67
user1221046178631
God first ♥️ :
kumbe mwalimu alikuwa anajua kingereza 🤣🤣🤣
2025-10-15 19:09:01
39
mnyalu8
iringa boy8 :
alisoma wap miaka hiyo
2025-10-16 08:29:25
3
hamjamboni
hamjamboni :
During colonialism English was the main language people used right from primary. It. Was Nyerere himself who switched it to Swahili after independence
2025-10-21 05:14:53
3
moffatmak
moffatmak :
Haijatokea mtanzania mwingine kazumgumza kizungu kaa hiii ,viva mwalimu 🤣
2025-11-04 19:11:39
2
must.240
must.240 :
kumbe babu alikuwa noma sas kwanini wajukuu ni weupe 😂😂😂
2025-10-15 21:52:50
3
barrickjonasi
barrick🇹🇿 :
huyu mzee mpaka leo sijuwagi alizaliwa mkoa gan
2025-10-15 22:06:37
4
iphonedirect
IPHONE DIRECT📱 :
mkumbuke hio ni la saba ya mwaka 1935😂😂😂😂😂
2025-10-17 02:32:04
17
user4823413467040
user4823413467040 :
Huyu mzee sijawahi kumchukia
2025-11-10 19:11:39
0
abeeyb1
Abeeyb :
Kenya 🇰🇪 Njooni mchukue mtu wenu🤣😂
2025-10-16 07:39:41
3
vodie44
RoshV💗# :
kenyewe kakajua kingereza afu sisi kakatulazimisha tuongee kiswahilii, haka kazee jauu
2025-10-17 14:15:42
2
reeyoungson
ree :
ni muhadzabw
2025-10-16 04:59:49
2
kiongozi212
Silas Makokha Kiongozi :
Magufuli Alikua Msomi kuliko Nyerere
2025-11-08 22:48:42
0
paschal.wall_art
pfm_wall art :
hicho ni kizazi kilichofunfishwa na Muingereza
2025-10-15 19:59:02
13
khalfan.muhammed
khalfan Muhammed :
sasa mbna katunyima sisi hiyo condition 😂😂😂😂
2025-10-16 07:51:13
2
mussaame208
Mussa Ame :
kalelewa na kusomeshwa na WAZUNGU awe vipi?🤣🤣🤣🤣
2025-10-18 13:24:56
1
iam_njengeli_george
it's_njengeli_george....✍️ :
Dah ngekuwa najua kingereza kama hiki Interview zisingekuwa Zina nipiga chenga 🙌🙌😌😌
2025-10-16 14:35:52
6
arson.og.com
Arson @Og.Com :
hiyo neno fight and fight and fight kaongea kisw kilichobadilishwa kwa kiingereza yaan pigana pigana pigana
2025-10-16 20:27:51
2
mauridimauridi53
Mauridi Mauridi :
malaisi nyelele mzee mwinyi luuksa na magu tu
2025-11-07 19:35:30
0
francismakolo
francismakolo :
Huyu Mzee Kingereza alisomea wapi kipindi hicho?
2025-10-16 14:42:49
1
marthbryt
Nantity Bŕyton :
kuna sisi sasa😏
2025-10-18 13:42:47
0
amazing02025
mwenda zake :
Sasa magufuli na Nyerere ndo walikuwa Maraisi 😭😭😭😭pumzikeni kwa amani 😢😢
2025-10-27 20:46:57
0
To see more videos from user @djaus_djwakusini, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About