@flozie_firebaibe: sasa mbona wapike mchelee ‼️🤣🤣🤣 @wa kairu #100kviews #wanjikuwawakairu #fyp #floziefirebaibe🔥 #kikuyucontent

Wanjiku WA wakairu
Wanjiku WA wakairu
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 20 October 2025 08:09:03 GMT
338773
33483
717
789

Music

Download

Comments

njee654
njerikamau :
tulikua tunaambiwa tungoje watu wakue wengi ati hawezi gurumisha kisiagi juu ya watu wawili 😅😅😅
2025-10-20 11:09:01
844
clickdigitalmarketing2
ruth :
I hated going to kisiagi 🤣🤣🤣 crush asinione nimebeba unga😂😂😂
2025-10-20 12:18:48
346
user68275812786857
carol wanjira :
i used to hate kwenda kisiagi.but now hiyo ndo unga napenda
2025-11-11 05:48:52
1
judyta032
💫judyta❤️‍🩹 :
na bona mtu alikua anachelewa akitoka kisiagi😂😂
2025-10-20 09:48:52
667
nduateeh
nduati🟣🟣🟣 :
maheni dauma gwitu👏👏👏
2025-10-20 11:49:13
60
ken.diazkenz0
ken ďiâż ķëňz :
mimi nlkwa naendewa na mwiko centre 😂
2025-10-20 08:36:32
229
evahndungu5
️ :
ndahikire na mutu wa mami🤭🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-21 11:33:30
60
perohkendi013
peroh :
Nlikuwa nawekewa Kwa kiondo nikifika Kwa barabara natoa naweka Kwa karatasi naficha kiondo nitaitoa nikirudi😭😂😂😂😂
2025-10-21 06:59:46
31
rosesuzzie
N. J. E. R. I. ❤️ :
shotcut😁😁😁😁
2025-10-20 15:53:36
1
gada.ya.warufagaa
Ken wa E-town😃 :
wengi wameolewa na io ungaa😁
2025-10-20 09:33:33
113
jecinta.wangari4
Jecinta Wangari :
mm nilikua natumwa kisiagi nauza mahindi nikule ngumu Kwanza nikifika naskia unga haitoshi🤣🤣🤣
2025-10-31 11:47:45
5
nyarain0
nyarain⛈️🥶 :
tulienda na cuzo yangu akaenda kwa boyfriend yake Wacha mathe atukujie ,,,Mimi ndo nlichapwa ya come and see Ati juu ya "kuhithirira mehia😅😅
2025-10-20 11:00:06
90
mordendavid
@Moh :
“Dagika ithatũ” 😂 this is the original gikuyu stile
2025-10-21 02:52:39
24
lizziemalik23
@liz nganga23 :
Hii ndo mambo ilifanya waschana waolewe mapema😂😂😂
2025-10-20 08:56:15
211
yesicandoits
🤑it's me...........🤑🤑🤑🤑 :
my mom aliniambia aliolewa na unga 😂😂😂😂😂😂😂
2025-10-22 02:56:08
5
ann843583
Ann :
tulikuwa tunamwaga mahindi kwa Barbara tusichoke😂😂😂
2025-10-20 13:20:14
10
empressclyde
Billy Clyde❤️❤️ :
ningewaambia nilichelewa nkifanya nini but ntanijudge🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-10-20 16:18:15
5
purysalma
wainaina purity :
mtaliii😂😂
2025-12-07 17:47:16
2
caroline_thiongo1
L&E Essentials KE. :
mimi nilichelewa siku moja kutoka kusiaga from that day mama yangu akasema hakuna mtu mwingine amaeza tumwa hatutawai kula ugali milele na 😂😂
2025-10-20 11:07:23
1
mwaskish2018
shaniz mamake kish🇺🇸🇺🇸 :
huyo ni mimi🤣🤣
2025-10-20 10:13:11
1
taty.taty901
Noraah❤️❤️❤️❤️ :
hivyo ndivyo nlioleka na kiondooo ya cucu yangu na uga😅😅😅😅
2025-10-21 20:54:49
2
gracengatia5
The real Tigerless 🐅🐯 :
sistangu alitumwa kisiagi hakurudi, aliolewa na unga yetu🤣
2025-12-07 18:13:24
3
cikupeters
Josphine :
😂😂wenye hatujawahi enda kisiagi tukae wapi
2025-10-20 11:45:49
47
marxie...39
@🦋marxie 🦋💫39 :
10/10
2025-10-21 11:30:26
2
wamboh121
wamboh :
iiiiì mamiii🤣🤣🤣😂
2025-12-06 05:51:01
1
To see more videos from user @flozie_firebaibe, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About