@oludhedancu: Mshwari imekataa weekend ipewe heshima yake 🤣🤣 #foryoupage #trends #254tiktok🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #fypシ゚viral #fyp

The Duke Of Ugenya
The Duke Of Ugenya
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 31 October 2025 16:28:39 GMT
33468
1176
102
94

Music

Download

Comments

getgetec
Getgetec :
nyinyi safaricom..mmeamua tu nisiende ushagoo kuaribu ndoa...bibi wa mwaniki..mungu amejibu naombi yako...safaricom mmeniweza🤣🤣🤣
2025-11-01 19:55:22
0
marey7325
❤️CAROL 🥰 :
😂😂😂 hata wafanye Nini we will destroy tukuwe single wote
2025-11-01 22:58:42
0
user9582935330843
Arsenal girl🥰 :
me nimehara leo ata sina nguvu🤣
2025-11-01 15:23:39
0
lovetterose1
Rose🌹 :
Nahuko ndio nimekua nikisave school fees nahara nonstop
2025-10-31 18:16:13
8
mrskiburi254
🦋Ghurl💎Demz💦🖤🩵📌 :
team strong halloo 😳naishiwa pawa mimi😥
2025-10-31 21:40:39
2
marey7325
❤️CAROL 🥰 :
hadi nimecall Safaricom nikiwa restaurant 😂😂Nikona stori Kwa Kenye iliendelea
2025-10-31 21:39:19
1
terrybobo03
terrybobo :
ukirestart simu inarudi poa
2025-10-31 18:32:54
0
bebe_lenata
bebelenata :
akhi yangu haifanyi kabisaa 😫😫😫
2025-10-31 19:11:44
0
icon6421
icon 💫💫 :
kwanza comrade analala njaa
2025-10-31 20:32:56
0
t.......cr
T.......cr😏🙌🏻 :
weuh inatutesa 😂😂😫😫
2025-10-31 18:17:34
0
rehema..6
🦋Mercedesmercy💞 🦋 :
sitawai save pesa uko tena...nmehofia kwelikweli
2025-10-31 21:32:45
1
antonio15411
Antonio :
mshwari ina fanya si kai na amani bwana 🤣🤣🤣🤣
2025-11-01 07:07:33
0
reen.charles
Laura🥵 :
Iko sawa sasa 😂😂 Karibu nikaongezwee majii 🥺😂
2025-11-01 04:17:59
0
bet_musigo2
🌹 💐 pat🌹 :
wadau rent 😏😏😏 kwa mshwari sijalala mimi 🤣🤣🤣
2025-11-01 01:08:50
0
peshie929
Patience lsaac :
nimerestart simu mara kumi leo😂😂😂😂
2025-10-31 20:42:40
0
mary104mariah
Mary mariah :
🤣🤣karibu nililie town,,ilibidi nicall bexty yangu 😅
2025-10-31 19:30:45
4
kaityln07
beth, 😊❤️ :
Karibu niende customer care Na evidence 😭😂😂😂😂
2025-10-31 20:25:54
2
annmugo38
shishi Cobbs :
safaricom maubwa ebu mjue venye mtafanya juu mm ujinga ndo sipendi
2025-11-01 07:46:06
1
capuchinoken
Capuchino ken :
ati sorry for inconviniece..🤣😂🤣🤧nkt🤣
2025-11-01 06:43:39
1
melanie56197
HAPPY BIRTHDAY ON 30TH OCTOBER :
aii mi nimeshow msee wanduthi a chill hivyo 😂😂aki nishafika wananishow try later
2025-10-31 18:20:18
1
skincareby_viona
skincareby_viona :
Jana nilirudisha Nguo 😂😂😂 juu sasa ningeduu
2025-10-31 18:10:58
1
maxine.mary2
Maxine Mary :
kesho karibu ni lala njaa 😂😂😂 imagine sikula supper 😂😂😂
2025-11-01 16:55:52
0
mercy.mwende62
mercy mwende :
aki yangu ilikua 21340 balance ni 4
2025-11-01 12:13:15
0
jaynejayne40
jaynejayne :
cjakula jana waa naenda kufungua equity 🤣🤣🤣🤣
2025-11-01 12:07:30
0
vitalcynthia
vitalcynthia :
sijakula tangu Jana am stressed 😥😫😥😫
2025-11-01 10:04:28
0
To see more videos from user @oludhedancu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About