@lightcasttvkenya: "Hatuhitaji mvua, tunahitaji maji. Ziko tofauti, tuwache kufikiria kidogokidogo!"~President Ruto.

Lightcast TV Kenya
Lightcast TV Kenya
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 13 November 2025 17:42:38 GMT
374576
20067
2090
1085

Music

Download

Comments

mosterranjo57
Moster Ranjoz :
hatuhitaji unga tunahitaji ugali🤔🤔🤔😂🤣 ama sisi ndio wazimu
2025-11-13 18:54:38
3218
lawrence.rono5
Lawrence Rono :
this guy is super intelligent
2025-11-13 18:25:39
637
zakaria.wanyeki
it's zak :
vile naedelea kuskiza do naedelea kutuelewa 🤔
2025-11-14 10:16:48
0
marley.spencer
Spen-Sir 🇰🇪 :
He’s undoubtedly correct. All rain is water, but not all water is rain. Kama huna Degree huwezi elewa! 💀😂😂
2025-11-13 19:42:40
309
willy_mburu
Willy Mburu :
hatuhitaji tutam, tunahitaji wantam 😁
2025-11-13 20:04:14
649
user46688455136590
David K :
He is right; Dubai hawana mvua, lakini wako na maji😊
2025-11-14 02:55:58
81
_brightday
_BrightDay :
Hauhitaji hewa, unahitaji kupumua😂😂
2025-11-13 18:50:24
1028
amsurprisedke
JM Mureithi :
dont love your Job,Job your love
2025-11-14 03:27:18
151
t2red3devils
Old Trafford :
Siku moja uongo itakunyonga 😂😂
2025-11-13 18:49:17
727
raphaelmutie
Raphael Mutie :
hatuitaji kuku, tunaitaji mayai🤣🤣🤣
2025-11-13 19:02:03
2065
ckfrank10
Frañk :
this guy is sober,ni sisi tumechizi walahi😂
2025-11-13 19:04:47
173
mugendisilas
Slim :
kuna mp alisema tupumb maji from Indian ocean and supply all parts of the country 😂😂
2025-11-14 08:14:22
0
nucho.ke3
Nucho ke :
kwani mvua inanyesha makaa
2025-11-13 20:47:55
1
01_alchemist
the_Alchemist. :
Ruto is development oriented, he has really great plans for the country. Shida yetu ni tumeweka tumbo mbele akili zikabaki nyuma... Wake up guys.
2025-11-13 19:30:22
49
254yoh
davie :
hatuhitaji ruto,tunahitaji kondoo...
2025-11-14 04:10:07
8
goldenenjoh
Golden Enjoh :
Hatuhitaji chakula, tunahitaji kushiba😭
2025-11-14 08:55:56
10
babajoshu1
baba joshua :
hatuitaji rais tunaitaji maendeleo ama namna gani ruto??
2025-11-14 06:53:10
17
samm.murray2
KATERINA🦋🌹 :
😂😂😂😂😂😂eeh ruto wapi maji huku turkana
2025-11-14 04:49:53
1
niqah254
King Ally👑👑 :
imagine kenya mzima kila mtu angekuwa ruto sahi hata china na usa hawezu tufikia😂😂😂😂😂
2025-11-13 18:11:15
330
blakdov_
blakdov_ :
Don’t love your job, job your love
2025-11-13 22:27:51
17
c.nyarmwalimu
candy bae❤️❣️ :
ata Mimi sielewi ama Niko mavitu 😹😂😂🤣
2025-11-13 18:31:45
25
shirrow84
shirrow :
Kinda right am in Qatar hakunyeshangi but water iko throughout ..cijawahi ona pia stima imepotea for the last 6 years i have been here.
2025-11-14 09:23:47
4
josephnyaga856
Joseph Nyaga :
wakenya ata mungu awatumie kiongozi kutoka mbinguni shukurani hamna, President Ruto akimaliza term zake mbili mtamlilia.
2025-11-14 10:09:52
2
deltonosoro
black👿 :
eeeeeiy acha niendeee Jaba ingine 👍
2025-11-14 10:23:01
0
triple_seven_26life
cyrus 26 :
hatuhitaji bibi tunahitaji watoto😂
2025-11-14 05:36:23
10
To see more videos from user @lightcasttvkenya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About