@odembamedia255: #creatorsearchingsught #wazarendo #odemba media#freepolepole #newsupdate

ODEMBA MEDIA
ODEMBA MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 01 December 2025 08:12:42 GMT
376572
7182
239
1755

Music

Download

Comments

nurdeenchaz5
Nurdeen Chaz :
Kwani Zanzibar ni nchi
2025-12-01 20:03:10
2
mkombozi520
_ACTIVIST_ :
tukija huko tunavuruga mkoa mzima mamae😭
2025-12-01 14:32:05
27
ahmed_dady007
Ahmed daddy :
uhakikaaaaaaaaa sante tanzaniaaaa
2025-12-02 18:02:35
0
user676037831554
user676037831554 :
Alhamdulillah najivunia kuwa Zanzibar naipenda nchi yangu🥰
2025-12-01 17:43:40
64
ameena_alzarray
ameena_alzarray :
Zanzibar ni njema atakae aje
2025-12-03 12:25:52
0
issa.s.s8
Issa s.s :
wameshaghumiwa Allah awalani nyinyi mbwa
2025-12-01 12:42:31
4
khalfan853
khalfan853 :
hakuna kuja huku hatutaki fujo ss wala urojo
2025-12-02 18:58:40
0
user71037385443434
chachuli :
lakini wanasiasa 😅au basi
2025-12-01 14:40:15
0
prope2004
prospamkemangwa :
ok hii haija kaa sawa
2025-12-01 20:39:04
0
ronaafrica
trale22 :
🤣🤣 kila mtu abak kwao
2025-12-01 15:48:43
1
_cheusi1
_cheusi1 :
Tarehe 8, nipande boat nikajifungie shakani mie.
2025-12-01 21:27:28
0
cutesabra
SABRA✨ :
sawa nna barua yangu ya sheha 9D navuka maji😂😂😂
2025-12-03 04:32:01
0
loveness2490
🦋Butterfly girl🦋❤️ :
kumbe ni Zanzibar tu niljua na mikoani wamestisha mwisho tareh5 😂
2025-12-03 12:34:30
0
zuberi.omar
Zuberi Omar :
NYINYI WABARA SIO WABAGUZI AMA MANA KAKAA SAMIA NYOTE MMEIKATAA CCM
2025-12-01 21:25:41
21
ashraksalum190
Ashraq Salum :
wazanzibar na watanzania ndo wapi sema wazanzibar na watanganyika
2025-12-01 14:06:59
6
mrs1044tz
MRS🥰M :
saw saw wasije kuharibu amani yetu uku tumetulia
2025-12-01 12:54:28
4
mbubaomi2
mbubaomi :
so mumeambiwa muingie njiani tarehe 9
2025-12-01 19:46:59
0
richierichie366
lifegoeson366 :
sema tanganyika usiseme tanzania bara
2025-12-01 23:37:39
0
misslee632
misslee👩‍🦰🕊 :
Tanzania bara kwenda Zanzibar
2025-12-02 12:14:45
1
abuumtalam
Mtalaam💥😎👊 :
Asant kemten mkuu wa mamuz 👂💸🤲
2025-12-01 20:44:55
2
leebam060
️ :
network je mnaifungia lini ni dowload muvi 😂😂😂
2025-12-01 14:25:37
68
benson.john24
Benson john :
asanteeee babuuuu nipo zanzibar I mkwajuni saivi
2025-12-01 18:22:12
0
luckynumberkk
Tanganyika mpya :
Tanzania bara ni nchi gani hiyo 😁
2025-12-03 14:30:04
1
khadija.khamis31
Khadija Khamis :
hongera uwongozi hatumtaki wachawi mchanganyiko🤣🤣🤣
2025-12-01 14:03:17
5
liliantemba0
@leilatemba :
Point 🙏🙏 ubarikiwe sana umeongea kwa hekma kubwa
2025-12-03 11:28:15
0
To see more videos from user @odembamedia255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About