@bbcnewsswahili: 'Kwao hayatokei, tumenyanyua sauti kusema ya kwao, wanadhani bado ni wakoloni kwetu au ni fedha chache wanayotugea ndio sababu! Rais Samia Suluhu Hassan amesema hayo akiwahutubia wazee wa jijini Dar es Salaam Tanzania ##bbcswahili #tanzaniatiktok #kenyatiktok #foryou #uchaguzi2025
bbcnewsswahili
Region: TZ
Tuesday 02 December 2025 12:29:34 GMT
Music
Download
Comments
Elie_Juicery :
Izo nguvu walizotumia kupiga makofi ndo watazitumia kusimama kwenye daladala hatuwapishi
2025-12-02 13:34:17
967
🇰🇪msamburu🇰🇪 :
sasa uyu anatake notes zipi
2025-12-02 13:08:35
3048
KA MWISHO_VICTOR🧢🗣️ :
Sjapenda. Kuongea uzuri kwenye mambo ya kitaifa
2025-12-02 18:20:12
0
Prince Ray🇰🇪 :
who are you too😂😂😂
2025-12-02 13:29:38
2016
adiie :
kumbe tz ina wazee wajinga wengi hivo😏
2025-12-02 15:58:49
78
Truth set all free :
WE ARE KENYAAAAA 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
2025-12-02 16:30:38
47
Jacky love :
wazee leo mlale huko huko
2025-12-02 12:35:19
1256
LICKY BOY :
wanapiga makofi kama wenda wazim
2025-12-02 12:38:54
1112
bonganiskin :
She is so right I love this woman
2025-12-02 15:03:36
107
Bonjoh :
hawa washarogwa
2025-12-02 17:50:38
5
@itz silver sling 🫠🇰🇪 :
ni hio kizungu kidogo wanapigia makofi 🤣🤣
2025-12-02 17:36:41
45
bazenga mtulivu 🇰🇪 :
hapa akuna rais
2025-12-02 12:37:54
674
Kishiwa :
imagine unamuona baba yako anapiga makofi hapo mbele
2025-12-02 12:51:59
382
Kubix :
wazee waletewe daladala zao sijikupisha mzee mimi
2025-12-02 15:43:39
6
Esther_D :
kumpisha Mzee kwenye daladala labda ije winchii
2025-12-02 18:24:01
0
userfrancis :
icc inangoja kukunyonga, muuaji jimama.
2025-12-02 13:06:44
106
Shabby.32 :
Nimekupenda Mama
hakika umeongea kwa Ujasiri na kwa Ushupavu Pesa zao zisitufanye kuwa wapumbavu kwao
2025-12-02 15:33:24
15
JITU LA IMANI :
Kumbe nguvu za kushangilia mnazo ila za kusimama kwenye daladala hamna
2025-12-02 16:52:07
56
Daniel :
who are you is the only English word #Suluhu has ever spoken 😂😂😂😂
2025-12-02 15:37:16
47
Raquell :
kuanzia leo awa wazee mwenye wana piga makof kwa samuya wata simama kwenye daladala🤣🤣
2025-12-02 14:10:34
136
Scofield💪. :
Niwatoe hofu kwamba...
2025-12-02 15:00:55
33
sm_kicks1 :
Angeongea na vijana sio ao wazeee wa makamo😂😂😂
2025-12-02 12:38:33
586
🦋Fransiska🦋 :
mama mungu akupe maisha marefu mama na afya njema🥰🥰🥰
2025-12-02 16:11:15
7
Gitongaah 💋 :
Wanapiga makofi juu amesema who are you
2025-12-02 17:14:47
15
offcial_Sam_laizer🇺🇲🇮🇱🇰🇪 :
😅😅😅😅😅😅wakenya majirani zetu nawasalimu katika jina la Yesu takbir Amen
2025-12-02 12:53:13
112
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.