@geordavietv: KAA MBALI NA MADENI!! . . . #geordavietv #geordavie #nyu #arusha #tanzania #nabiimkuu #prophet #healing #miracle #miracles #eastafrica #africa #world #kisongo #ngurumoyaupako #philanthropy #ruzuku #faith #Love #wisdom #daressalaam #dar #bongo #oparesheniufungulivudaressalaam2023 #nyundoyanabiimkuuinakujadar2023 #fyp #foryou #tiktok🇹🇿 #tiktok🇰🇪 #trending

GeorDavieTv
GeorDavieTv
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 27 January 2023 03:53:30 GMT
49795
1347
71
410

Music

Download

Comments

songeaph
philoteus lwena :
jamani hadi nimelia ulichoongea nisahihi sana mie nashindwa kujitoa ktk madeni... nifanyeje mie nijitoe ktk madeni.. cm mpya sipokei kabisaa
2023-01-27 10:41:06
3
user3569160092213
user3569160092213 :
Mada hii nzuri. Hata hivyo ungekwenda hatua kadhaa mbele kwa kuzungumzia nafasi ya mabenki na credit system kwa ujumla.
2023-01-27 08:11:19
0
user82693796023453
user82693796023453 :
KWELI KABISA BABA
2025-07-09 03:59:29
0
user7496602520825
B12 :
Pesa ingalekuwa inazui kifo au magonjwa baasi wenyenazo wasingekufa walahi
2023-01-27 16:36:01
3
0786mwampesse
Mwampesse 💓🤏👌🤳 :
namkubar Sana na napenda anacho fanya na naamini kila anacho ongea mung ampe maisha malefu sana japo sijawai kumuona hila namkubar Sana 🥰
2023-01-27 07:44:14
2
siyakisumo
siyakisumo :
its true, Mungu niepushe na maden🙏
2023-02-02 07:34:44
2
gracekimaro255
user1682551375783 :
Ameen baba naugua ad presha baba nisaidie kwa ilo baba 🙏
2023-02-06 19:32:01
1
user2382854222972
user2382854222972 :
Ni kweli Baba kama mm baba nisaidie nyumba yangu yote imeungua Baba🙏
2023-02-09 20:15:52
1
user9599163569441
ney ney :
baba point kabsa nisaidie mtaji nimechoka
2023-02-06 12:43:26
1
user7470915515787
Abdulhak 💥 hakus fakir :
WATANZANIA...MSICHUKUE..IZO...PESA...ZA..MASHETANI...,AUTO...FANIKIWA..LOLOTE..,tafuta..pesa..kwa..jasho..lako..MUNGU /Atakubariki....🤲🙏
2023-01-27 16:01:08
1
liliani060
liliani :
kweli baba
2025-03-28 10:16:26
0
mwambawamiambani
04679999666677778 :
nabii kuma vp
2025-01-07 07:39:37
0
user3155349938209
Aisha :
bab umenigusa mm kabis
2025-01-30 11:08:14
0
willys.designer
Willy's designer👖 :
bodyguard
2024-11-13 04:24:27
0
stivmkrams
stiv Mk Ram's🙏🙏❤️❤️🇨🇩🇨🇩 :
Big up pasta😂😂😂😂
2024-10-21 14:07:04
0
sangajuliana
JulianaSanga :
wengine hatupendi kuwa na madeni mtumishi wewe huwii umesema kweli niombee nitoke huko
2023-01-27 08:02:25
0
maindukamundala
maindu kamundala :
kwili muchungaji
2024-08-29 04:00:45
0
mbughunihancymbug
hancymbughuni :
nisaidie bas Bab nadaiwa
2023-02-07 19:58:20
0
alexzebedayo352
alexzebedayo352 :
nikweli baba umesema kweli mungu atasaidie
2023-01-27 07:26:04
0
user7470915515787
Abdulhak 💥 hakus fakir :
msichukue..izo..pesa. za kishetani...mtashangaa. pesa. zenu. azieleweki. zinakwenda. wapi..mcheni. mungu. ambayo. afi. kamwe. msimuabudu. mchungaji ..
2024-10-23 12:58:22
0
mr.marundo
Mr Marundo :
🥰🥰🥰
2025-07-12 15:30:56
0
drsagesse
Dr sagesse :
🥺
2025-06-02 21:26:35
0
drsagesse
Dr sagesse :
2025-06-02 21:26:35
0
user5090744616152
Elyakudaurio :
😭😭😭 Yan n mm kabisa jamani siwezi kutoka kwenye madeni ee Mungu nisandie na mm nitok
2024-06-28 16:43:13
1
komborashid2
komborashid928 :
kweli Baba
2023-01-27 05:59:29
1
mariamphilipp3
user6130407032384 :
nikweli baba yanatutesa mpaka tunakimbia nyumba zetu
2023-02-06 11:10:25
1
evamusuruve
evamusuruve :
nitumie fees mtumishi ,na mungu arakubariki
2023-01-29 11:46:05
1
ayed1345
Mzee Wa Town :
It's true Mkuu
2023-01-27 11:40:48
0
user9599163569441
ney ney :
baba nisaidie
2023-02-09 05:52:27
0
mishyothman20
mishyothman20 :
Kweli kabisa nisaidie nimalize madeni yangu nabii
2023-01-27 10:23:00
0
king.saigo
king saigo :
dah imenigusa sanaa hii
2023-01-27 08:47:56
0
milkajnarcocarno
Milka J Narco Carno :
kweli
2023-01-27 11:03:01
0
piencia0
Black beauty :
kweli kabisa 🙏🙏
2023-01-27 05:02:15
0
kalinjumaelias
Kalinjuma Elias :
mawazo ya MUNGU Si sawa nayamwanadamu.
2023-01-27 12:42:09
0
salmambeu
user7346538153102 :
Kweli baba
2023-01-27 08:17:17
0
user2668685945657
j_emma :
ipo ck nitafka kanisani kwake one day
2023-01-27 16:26:32
0
user798396374
user484727129239 :
Nabii mkuu TzNa Africa ninaomba niombee nitoke kwenye madeni
2023-01-27 08:14:34
0
lamdotz1
user1106006016336 :
better speech broh 🙏🙏🙏🙏😥😥😥😥👍❤️tell them
2023-01-27 21:20:56
0
user83310652272502
joyce :
kweli baba Mimi yananitesa mpaka nalia Kila siku.
2023-01-28 10:57:58
0
agnesmbawa2
user1797594790960 :
kweli kabisa
2023-01-29 13:28:16
0
user9427189079769
user9427189079769 :
kabisaa bab
2023-01-29 14:41:04
0
mariatambwe66
Maria Tambwe66 :
kweli kabisa. unanisahidiya sana.kwa maneno unayo ya ongea.
2023-01-30 13:14:50
0
rebekamshashi
user5818585268046 :
nmara yakwanza kumskiliza huyu baba nampitaga Sana ktk hubiri hili nimemwelewa
2023-01-31 10:55:37
0
vinnysmartcollectio
Vinnysmartcollection :
baba nisaidie kulipa sitakaa nikarudia mm jaman napumulia mashine
2023-01-31 12:14:27
0
robijosh4
robijosh4 :
kweli kabisa
2023-01-31 16:05:06
0
user528686332903
user528686332903 :
amen
2023-02-01 15:40:30
0
suwilanjinamugala757gmai
suwilanji :
true
2023-02-06 06:01:56
0
brendalee9505
Brenda Lee635 :
amen
2023-01-27 07:24:58
0
user9599163569441
ney ney :
baba niokoe mimi
2023-02-06 13:28:05
0
mieeshary
meshary :
Amiiiiiin Amiiiiiin Amiiiiiin Amiiiiiin Amiiiiiin Amiiiiiin Amiiiiiin
2023-01-27 06:54:47
0
alianhamic
alianhamic :
MZEE AKUNA ANAEPENDA KUDAIWA ILA MAISHA YANAKULAZIMISHA IVYO...UNAKAAJE MBARI SAS KO UFE NJAA KISHA KUOGOPA KUDAIWA???
2023-02-07 13:58:07
0
tumainiofficial
tumainiofficial :
kweliy kabsa mkuu
2023-02-07 16:39:47
0
zeddy_offical
zuhura :
kweli baba
2023-01-27 08:56:55
0
user9530695055852sharifu
tindyo boy mtz :
daaah 😭😭😭 hakika 🙌
2023-02-09 12:50:23
0
user3233303861058
user3233303861058 :
baba nimechoka nisaidie na mm mtaji baba yangu
2023-02-09 13:13:20
0
sharlinerose
mum wa mum :
kabisa baba
2023-02-09 13:55:27
0
graceruben7
Grace Ruben716 :
ni kweli baba barikiwa Sana! naamin asilimia zote
2023-02-09 16:03:52
0
user4365104839458
user4365104839458 :
kweli baba Mimi kila siku presha nisaidie baba Mimi ni mjane naishi mazingira magumu
2023-02-09 19:12:40
0
husnak92
kingazihusna :
thanxs nabii
2023-02-09 19:13:34
0
zawadzawadi12
ap :
kweli kabisa
2023-01-27 05:50:19
0
zz9653567788899
Mrs.binvenue❤️🔐👩‍❤️‍👨 :
Emen 🙏🙏🙏🙌
2023-02-09 21:15:19
0
To see more videos from user @geordavietv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About