@shebbyalawi8: #prophetipeola #tanzania🇹🇿 #foryoupage #nabiisa #kenyantiktok🇰🇪 #christ #islam #yesu #nabimuhammad #nabiielisha #prophetipm #prophetipm #zanzibartiktok #foryou #fypシ #IPM #ipm #prophetmuhammad #rwandatiktok

ShebbyAlawi
ShebbyAlawi
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 11 June 2023 10:08:06 GMT
568991
13302
1006
2058

Music

Download

Comments

kibokonyamamayiwo
Kiboko nyama mayi wonetu🦛✅ :
uyu ni mutu ya giza, hapensi kupoteza pesaa😂😂😂 mais ana juwa uislam ni dini ya lweli
2025-03-06 01:31:16
1
beruharakiri
Beru harakiri :
Hakuna Allah kwa ukristo. Mungu ni jehova ,niko ambae niko . Na kila ulimi usiokiri yesu ni mwana wa mungu sio mkristo
2025-07-03 01:50:42
1
user7743787805772
Nassoro Joka :
umeeleweka sana Ipm
2025-05-10 14:10:43
1
yusco333
yusco :
mungu sio binadam
2025-06-07 13:32:34
1
73mahad
Mahdi :
Hakuna nabi badaa ya Muhamad saw. And Jesus Christ son of Mary is messenger of Allah
2023-06-14 04:54:42
122
omuhshe
ibra fuad :
rudi kwa uislam kk
2023-06-11 16:24:20
17
user6352780610948
user6352780610948 :
mungu safi t
2025-05-17 08:30:34
1
sajjadallymshele
Mshele :
jamaaa anaujua ukweli ila maisha tu yanamhadaa
2023-06-14 14:11:18
12
user1766904607108
SAIRAJ :
mwambie shekhe Dr sule anamwita amufudishe ukweli hajui lolote huyo
2023-06-12 12:35:58
5
imuh_star45
SWAHILI MOVIE PAGE🎬📽️ :
njaa2😎
2025-04-09 17:30:12
1
barakallah251
Barakallah :
nyie kazeni tu mafuvu huyu mpumbavu ndo anatangaza hiyo nidi mpya ya CHRIISLAM ni moja kati ya ambassador mkubwa Tanzania Yani hizi njaa dah
2025-07-15 14:51:04
1
richardrajabu111
richard :
wakristo mu shtuke uyo mwislam
2025-07-08 06:23:22
1
ukht.zunayra
zunayra bint Ahmad :
lingania uko kanisani kwako watu wamuabudu Allah mmoja issa ni mtume
2025-03-16 18:44:48
1
mom.dia2
eveliny :
maneno mazuri yanahitaji kutafakali sana, God is one , Allah hana mshilika hakika
2023-06-12 17:30:37
38
marko.john3
Marko John :
wewe ni islamu damu. huko uliko ni maokoto tu.
2025-03-28 06:19:46
1
mc_mpeli
mc mpeli_events :
Wakristo Wana mafunzo ya watoto na kuna mashindano ya kujua Biblia na kuna kufuzu na sharehe zinafanyika. wewe unaujua Ukristo upi? Ukienda interview nenda Normal sio Pastor.
2025-01-24 19:57:50
2
ragonemsera83
Ragone Msera :
Wakristo bhn Yehova Mungu,Yesu Mungu,Roho mtakatifu nae ni Mungu. Inna lillah wa inna ilayh raajiun
2023-06-12 06:43:16
55
ashiraph64
Ashiraph :
mungu ni mmoja
2023-06-25 21:11:58
4
pinetworkmkombozi
IPO SIKU WATZ WATAFUFUKA :
Eti Allah ni Mungu😂 Sijui wanelewaga wanachokisema? Yaani kusema Allah ni Mungu ni sawa na Kusema "God ni Mungu". Brainwashing. Watu wanawafundisha ujinga kupitia mgongo wa lugha wasiyoielewa.😭
2024-08-22 04:33:34
5
user39941981049632
user39941981049632 :
nega jehova sii jina la mungu lakini la ubatiso wa wakristu.
2023-06-11 14:11:53
2
mumy498
▫️▫️mumy🫶♥️ :
Nilichogundua Mimi huyu kaka yupo katika uislam ila huko anakofanya mahubiri yupo kazini
2024-10-31 22:35:29
1
the.timbu
the timbu :
wewe acha kujipendekeza uwe upande mmoja
2025-06-13 05:51:57
1
ilkaywrld
ilkaywrld :
Sasa Huyu Anaenda Kanisani Kufanya Nini Basi. Double Standard. Unawakoroga Watu Alafu Hujuelewi Kabsaa
2025-06-20 08:35:59
1
yusco333
yusco :
mungu sio binadamu yesu ni binadam
2025-06-07 13:32:59
1
jayton905
Jay ton🎧 🇹🇿 :
Masha alla
2025-05-04 07:28:39
1
To see more videos from user @shebbyalawi8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About