nyie mnao sema cheo na umri havijaendana je mlikuwa nae wakat anasota jeshin oyaa bro big up sana
2024-02-13 06:52:45
14
naomnaom676 :
sorry ukipata four y 32 unawez kujiunga n jeshii
2024-01-26 08:35:40
9
sankara :
umr na vyeo haviendan
2024-01-16 06:16:26
1
edward :
daaa napenda sana kuwa soldier 🪖 lakini nakosa connection 🥲🥲 naomba support kwa yeyote🙏🏼🙏🏼
2025-03-04 12:23:27
1
Pius Chuma :
hcho cheo kipo ni cheo cha zamani kabla ya kubadilishwa ambapo alikuwa nacho major general baada ya maboresho meja generali alikuw ngao ya bibi na bwana nyota mbili na alama ya mkasi
2025-05-22 04:52:37
3
susha :
Katika kitu kigumu ni kamba za begani mkono wa kushoto hatuzioni
2025-10-06 11:52:40
0
Diontz :
Hii cheo gan icho 😁😁😁😁apo kati ya ngao na mkasi ilitakiwa nyota iwe katikati
2025-09-29 17:37:58
0
Ahmed :
jeshini hamna cheo kama hicho 😂😂😂😂😂
2024-05-14 14:13:14
1
yaasiri mohameddy :
nakubali sana na sana ila ndo ivo tuuuuu nimechelewaa
2025-09-24 12:53:41
0
kumbwitu ⚔️⚔️ :
hiko cheo na umri wake ni tofauti kabisaa
2024-01-26 17:27:14
3
Gasper Evarist :
29 Octoberkomboeni taifaa kwa wanyonyajii tuwaheshimu zaidii ya hapaa
2025-09-24 16:26:35
0
Really boyfriend :
Umri na vyeo haviendan. pia hicho cheo hakipo sasahv
2024-08-14 21:35:04
0
kelvinmsigwa6 :
hiyo ni lank ya zamani ya meja jenerali ila kwa sasa ni mkasi, nyota 2 na bibi na bwana. Ila huyu ameedit hakuna Tz kijana mwenye cheo icho usome vp
2024-09-14 07:26:23
9
elinapascal432 :
mungu akutangulie
2024-06-15 19:51:55
2
ovigo :
oya kabwe unatusaidiaje baba
2025-10-05 17:04:30
0
juma kidama :
habali zajioni kaka
2025-08-07 18:44:12
0
mackkunima :
watanzania wajuaji sana hadi jeshini sasa
2025-09-10 10:51:22
0
Roadman :
kisheria inabidi wamchukulie hatua kama yupo jeshini
2024-12-28 18:35:48
2
Ahmed Zahor :
😂😂😂 ety umriii apo so umrii ni elimu tu ww upo na mambo ya zamani tu
2024-06-12 11:26:00
1
yubert33 :
Uyoo ni major generaly
2025-03-11 11:36:43
0
lavay95 :
🙏🙏🙏 nakubali san soja
2024-01-16 17:33:17
3
daudibayi206 :
ukitaka kujuwa kama kaediti angalia profile yake vizuri 😅 utagundua sura yake ila mwili ni wakomando aliyepigwa lisasi kongo ya mguu akiojuwa😅😅
2025-03-26 23:13:18
1
To see more videos from user @commando_kabwe, please go to the Tikwm
homepage.