@mwanachuofamily: #swahilitiktok #tiktokswahili #mwanachuofamily #wanachuo #tanzaniatiktok #tiktoktanzania #foryou #viral #chuo #foryoupage #fypシ゚ #formsix #formsixstudents

TANZANIA UNIVERSITIES 🎓🇹🇿
TANZANIA UNIVERSITIES 🎓🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 May 2024 17:47:39 GMT
47564
855
42
57

Music

Download

Comments

happie.charz
Happie charz :
Unexplainable,at least mtu unakuwa umepass that stage ya mbele Mungu ndo anajuwa tu😂😂
2024-05-15 19:02:34
2
nankidennis
nanki dennis1256 :
form six Mazinde ndo usisemee
2024-06-04 17:35:26
0
charlz_unknown
CBM. :
Tanzania ni nchi inayozalisha wajinga wengi na wachache wenye akili za kuzaliwa ndio wanasurvive ila mifumo yetu ya elimu inazalisha watu wajinga wajinga sana
2025-05-13 13:23:39
5
girl_annie2304
Girl❤️‍🩹🫶🪄 :
🤣🤣😂ila Arts wanashida sana
2025-05-12 13:56:03
7
franzy_70
Frida Paul :
AMBAO TULIKIMBIA SIX😂😂😂..........LIKE KULE🤣🤣🤣🤣.......
2025-05-13 17:00:43
5
mafuwa06
MAFUWA :
Mnauwakika pakuanzia nn au mnasheheleekea kuludii home huku jua tu yaan hata mbuzii kuku wanao dhurura bala balani hawapo yaan nyii haya
2025-05-15 11:28:11
1
user3061882423457
Tom benenga :
bora mnge endemea kusoma lwenzenu nilikua hvy hvy ila natembeza makava ya cm sas hv chaja
2025-05-15 02:14:24
1
farrymissago
Farry Missago :
karibun chuon mshindie mihogo mlalie mihogo afadhali huko mlikua mna uhakika wa ugali maharage huku n km mmeruka majivu af mnakuja kukanyaga moto🤣🤣
2025-05-13 16:37:36
2
user3554567019848
Nica cute🥰 :
Tuwaache tuu waikute dunia tusiwaambie watatupiga😂🤣🤣🤣
2025-05-14 16:56:17
1
mwakajogolo
ngongaboy :
ukute wanafurahia kurud mtaani kufanya vibarua vya kubeba taka😂😂
2025-05-10 15:54:41
4
kivyele
KIVYELE 🇹🇿TZ :
njooni mtaani tuuze mkongo original kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-05-10 18:56:46
1
nasranyakunga
Naryan :
😂😂 mkikaa jinsia moja sehem moja wote mnakosa akili ndo madhara haya japo elimu ya advance shikamoo ila awajamaa jau sana
2025-05-15 11:10:25
0
reanieannemgoile
Ernie :
Waje huku tu saidiane kusubiri boom😂
2024-05-15 18:09:24
3
rebeka.joseph5
REBEKA JOSEPH :
ila kuhitimu bwana nakumbuka sku tunahitimu kidato cha 4 tulijifungia darasan kuchezaa
2025-05-13 19:28:37
0
graphics_designer17
Pallangyo :
😂🤣😂😂😂😂 nacheka sio kwba nafurahia ....lkn waje wajionee😅😅
2024-05-15 18:44:41
2
husscath
queenR@17 :
hv hawa wanajua mtihan uliopo baada ya aya maisha ya shule
2025-05-13 15:34:21
0
ben_lee_bl
benleebl :
haya tulifanya form 4..form 6 kila mtu aliondok kivyake
2025-05-12 22:15:01
0
user5693582834751
tina-539 :
wengne ndo tunaanza☹️
2024-06-05 08:32:50
0
user6811933760196
user6811933760196 :
hongeren san❤️❤️
2024-05-29 08:54:16
0
rombidzay
ROMBIDZAY :
waje chuo waje wahone kama watu wanalewa na boom au boom ndo linawalewesha
2024-05-19 18:42:52
0
dullah694
The Cheetah🇹🇿🇹🇿 :
waje wakutane na Curere udom coed
2024-05-17 12:12:46
0
user8181290763105
vaileth silayo :
msisahau kuwa kuna jkt😂☺️😂
2024-05-16 21:56:46
0
godlistenkimar
G KIMARO🥰 :
tunawakaribisha kitaAAA AISEE WAJE WAONE NN MAANA YA LIFE
2024-05-16 20:45:00
0
mr_white225
MR WHITE 🎤🎤🎤 :
😭😭😭 mmmmmnh acha nikae kimya nisionekane mjuaje waje waone maana ya course work 16
2024-05-16 10:05:24
0
rabbah35
Raraba boy :
🤣🤣🤣🤣🤣enzi yetu 2021 tullichoma domitory la Hkl🤣🤣🤣🤣🤣
2024-05-16 08:48:32
0
To see more videos from user @mwanachuofamily, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About