@faridabeautyacademy: CHUO CHA UREMBO NA USUSI BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA 📞 0657292650 TUPO DAR TEGETA AZANIA Chuo kimesajiliwa ZINGATIO: Nafasi ni Chache Lipia ada mapema DARASA LIJALO LITAANZA TAR 03/06/2024 Gharama ya Fomu ya kujiunga ni (10,000) Fomu zinapatikana chuoni na whatssp TUNATOA MAFUNZO YAFUATAYO👇👇 1.kusuka nywele aina zote na Kupamba maharusi ,kufunga malemba (mambo ya salon kwa ujumla kuosha,kuseti n.k) Ada: 300,000 Muda: miezi mitatu 2.FULL COURSE (HAIRSDRESSING Kwa Ujumla ,MAKEUP na KUPAMBA MAHARUSI ,FACIAL,WAXING,KUBANDIKA KUCHA na KUPAKA RANGI ZA KUCHA ,KUFUNGA MALEMBA,) Ada: 600,000 ( mwanafunzi atapata cheti) Muda: Miezi mitatu Field :Mwezi mmoja NOTE :HOSTEL ZIPO Ada :100,000 Muda: Mwezi mmoja Utapata maji,godoro, umeme,kitanda ila chakula unanunua canteen MAHITAJ YA MWANACHUO 1. Makeup seti 100,000( Itamsaidia Mwanafunzi kufanya mazoezi hata akiwa nyumbani) 2.Tshet 15,000 3.Shuka,neti na ndoo (kwa wale wa boarding) 4.Rasta za mazoezi,seti ya vitana, chanuo,Taulo,Apron 5.Uniform ni dark blue (sketi au surual) shati n dark blue TUNA MAFUNZO YA ONLINE YouTube: FARIDA OTHMAN Gusa link kujiunga nasi 👇👇 https://youtu.be/oWjQSEBh53w?feature=shared Darasa la whatssp Unalipia elf 12,000 tu
FARIDA BEAUTY ACADEMY
Region: TZ
Saturday 18 May 2024 21:42:50 GMT
Music
Download
Comments
Ortance Muzalia :
nous autres on s'intéresse beaucoup plus à la maquillage.
2024-06-21 10:37:42
1
chrisvie taty :
c'est combien s'il vous plaît
2024-07-06 16:51:38
2
Rain :
what type of braids do you use??
2024-08-29 11:08:27
0
justinanamfukwe :
Nice work what's the name of the brand
2024-07-15 09:04:44
1
Queen👸of the south💝💞 :
kama ushai fanya kazi ANGELS HAIR COLLECTION inua mkono juu🤣🤣🤣leteni sifa
2024-05-21 09:48:16
1
Madame Osée Manza :
ça c'est quel mèche ?
2024-07-20 14:55:49
1
carinemboumba1 :
très mimi 🥰😂
2024-07-08 12:34:25
1
bonsoir 565 :
c'est beau 🥰🥰
2024-07-11 21:11:50
1
SoyJoy :
This is so lovely
2024-06-14 21:40:52
0
Hélène :
tumeona,vizuri sana
2024-08-10 04:46:56
0
mariedjennyorline :
gad la vi mesye o
2024-07-08 02:23:17
0
Jenny :
Nice one
2024-06-19 10:03:25
0
AD LUV :
wow
this is perfect
2024-07-06 16:14:39
0
AYOM RING MALITH🇸🇸🇸🇸🇸🇸 :
amazing
2024-08-12 16:17:53
0
Rehema Kiyumbi :
nice❤❤
2024-08-05 11:11:42
0
Nogaye Niang la gymnaste 💖💖 :
mako nieukkk létou Sénégal 🤣
2024-06-23 21:05:23
0
katesh :
ukitk kwachuo ad shingap
2024-07-19 15:23:24
0
gladysodogbo71 :
🥰 it's beautiful
2024-08-14 11:39:30
0
Dorothy mwansa :
1414
2024-07-02 13:25:47
0
Irene Guzmán :
waooo kelindo
2024-08-01 02:53:37
0
Emily :
Beautiful, what is the name of braid?
2024-07-14 19:19:47
0
Nickel m :
where is your location please
2024-08-09 16:10:50
0
Helene Mara :
bsr je suis là pour vous
2024-06-26 17:16:45
0
Babysal :
😂nice one
2024-07-23 13:08:09
0
Suzan.molomo197410 :
which hair piece
2024-08-16 08:53:52
0
To see more videos from user @faridabeautyacademy, please go to the Tikwm
homepage.