@faynesssichalwe: Akaunti 5 za akiba na Uwekezaji 1. Dar es salaam Stock Exchange(DSE) CDS akaunti hii inakuwezesha kuwa mwekezaji katika soko la hisa na kuweza kununua japo kuanzia hisa 10 @dsetanzania 2. Bank of Tanzania CDS hii ni akaunti inakuwezesha kushiriki minada ya hatu fungani na kuweza kuwa mwekezaji kwa kuikopesha serikali na Serikali itakulipa coupons(Riba) kwa mwaka ambayo inatolewa mara mbili kwa mwaka (after every six month).Kumbuka kila jumatano kuna mnada inakuwepi kupitia website ya BOT @bankoftanzania_ 3.Mifuko ya uwekezaji wa pamoja (Collective schemes) Tuna UTT Amis na Faida Fund hii mifuko unaweza kuanza kuweka akiba kuanzia shiling 5,000 na kuendelea @faida_fund @watumishi_housing_investments @utt.amis 4.SACCOS au VICOBA ni vikundi vya kiuchumi vyote vina malengo sawa isipokuwa mfumo wa uendeshaji. Kwenye hizi vikundi unapaswa kuwa mwanachama na kuweza kuweka akiba na kunufaika na faida zingine 5.Bima- Ni akaunti muhimu sana ambayo inakulinda na majanga wewe na mali zako ni muhimu sana kuwa na bima mbali mbali ili kujilinda
hizi akaunti zipo na faida sana lakini watu wengi watuna elimu nayo🥺
2024-06-07 13:56:53
13
Vivanniel :
kwa kawaida riba 2M kwamwiz ni kias gan
2025-07-22 18:17:48
0
neema_tulamuona :
baada ya kufungua DSE kiganjani lazima uwe na broker ili uweze kununua hisa zako, mana wakati wa kufungua wanakutaka uchagua broker wako.
2025-06-17 17:14:41
2
asiahango🧿 :
tuanzie hapa hisa Ni nn!?
2024-06-27 12:35:59
6
user7045236192601 :
saccos au vikoba wao wanapatikana wap?
2024-05-22 02:00:53
2
egodfrey90 :
unalo what's up group
2024-05-27 04:02:50
4
@ ed_Xen 23 :
Sasa nimerudi kumsikiliza huyu mama baada ya sakata la LBL
2025-02-27 08:32:02
2
Vatican auto care :
mm kz nawezawekeza
2025-07-29 18:04:24
0
Manmyself :
Tahadhar sehemu yoyote penye mkono wa serikali usiweke hela yako....ikiingia huko kutoka utasaga meno!
2024-07-12 19:23:49
2
levina039 :
Natamn kuelewa zaidi juuu ya ununuaj wa hisaa
2024-05-22 02:22:24
16
user3017873510270 :
Asante.. natamani kupata elimu hii..
2024-05-23 13:44:23
2
mama Fifi :
natamani kujua zaidi dada lakini sipo Tz
2024-07-26 14:36:46
0
Baba Shakur :
tupe SACCOS nzuri za kujiunga
2024-06-09 23:15:25
2
Reuben Nchakaly :
#LINK-PESA sio Mchezo
LINKPESA Sio Game
LINKpesa sio mchezo ya pata potea
LINKPESA NI fursa inayokuwezesha kujiajili kwa kutumia simu yako kupitia mtandao OMBA LINK chap 0715036893🙏🏻
2025-03-02 11:08:45
1
Joshua Mworia :
Jamani! kwa wanaonifuata inbox, kujifunza FIC,mwisho leo! Nichek Tsap leo nikuelekeze maombi yamekuwa mengi nahitaji kuwafundisha kwa pamoja!
2025-01-27 10:13:21
1
spartan :
mnatolea madarasa wapi?
2024-07-06 18:56:55
3
Kalibort :
kuna elimu nahitaji kujua nianze mapema
2024-05-22 12:18:58
2
nannah :
kwa uwekezaji wa bima
karibuni sana Jubilee life insurance
2024-05-28 16:00:36
3
naomijoseph :
Asante sana
2024-05-22 01:08:33
4
Oscar Korigwa :
umeskia kuhusu TIMIZA FUND chini ya ZAN SECURITIES? @person
2024-06-06 17:35:28
1
Nono :
Tu aomba utengeneze video za kuelezea moja moja 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2024-05-22 19:09:40
3
The Great :
Naomba elimu zaidi dadaa nimekuelewa
2024-07-30 14:45:42
0
street playboy :
hivi cds namba naìpataje maana nilijisajiri zamani na nahisi nimeipoteza
2024-06-22 18:10:55
1
To see more videos from user @faynesssichalwe, please go to the Tikwm
homepage.