@amankafalume: Kaka mbosso kwa kupigwa matukio dah nazani ndo msanii anaongoza kwa kuchapwa matukio na wadada wakibongo😂💪🤡 #mbosso #mbossokhan #wasaf #wasafitv #wasafimedia #wasafifestival2023 #wasafifm #viraltiktok #viralvideo #viral #tiktok #rickmedia #yangasc #simba #kondegang4everybody #daresalam🇹🇿 #daresalam #mbeya #crowntv #crowntv #diamondplatnumz #alkiba #harmonize #konde #kondegang #kondegang4everybody
KAFALUME 12🕷️
Region: TZ
Monday 03 June 2024 07:52:29 GMT
Music
Download
Comments
MMALEKAN :
Kama na ww umeshuka comments section kabla hujamaliza video we need to be friends 😂😂
2024-06-19 16:55:32
417
Salehe Madenge :
Hi
2025-06-28 14:02:46
0
Mohofalilly Tz :
maisha bhana mboss ulijuaje apaaa
"karibu kwenye ndege yetu abiria funga mkand,,,,,,,,,."
2025-07-19 07:16:58
0
Aziz Ngassa🇹🇿 :
Ova
2025-04-06 08:15:40
0
Lawrence :
Malizia video acha kukimbilia comments😂
2024-08-19 15:48:28
0
raquiz_apple_boy🛺 :
ila.mbosso sura ake apan🤣
2024-06-15 21:05:39
43
Calvin % :
Mwanamke akiwa na pesa huwez dumu naye niamini mimi 😔
2024-06-19 05:13:45
11
kijana wa kijazi :
😂😂😂Alipata kazi hospital akasema ananichukia sana 😂😂😂😂maisha aya buana
2024-08-30 12:57:45
1
shado99 :
nyuma kama mbele🤣
2025-07-16 22:31:54
0
Lydiah :
wadudu🤣🤣🤣
2024-06-18 17:06:56
13
Mtafutaji/Achoki :
kumbe hawa wadudu sio watu wazurii dawa yao kuwagonga mimba tuu wakiji lengesha 😂😂😂😂
2024-08-29 03:43:18
1
muba :
kaka mimi wangu amepata kazi K F C simu hapokei tena wala hataki hata kuniona 😭😭😭
2024-07-26 19:57:07
23
Amina Said Moussa :
I love this man 😂😂
2024-06-16 07:10:07
22
Abbysingle ✔️ :
Ila Abby
2024-08-21 08:18:43
0
Sasha_Aziz_ :
Usoni kama mgongoni 😅😅😅ila mbosso jaman😃dah ila me napenda wanaume wenye sura flan ivi ngum ngum🥰
2024-08-19 12:17:50
0
mishepu :
😂😂😂😂 eti uson kama mgongon
2024-08-10 04:30:21
0
Lil pro :
dahhh ume nikumbusha mbali
2024-06-17 18:24:43
1
kisura :
mbosso anapigwa matukio mm nayy atuna tufauti 🤣🤣 🙌🏼
2024-08-19 20:53:45
1
sharifamrisho611 :
😂😂😂😂yani yeye kila siku anaumizwa
2024-06-03 20:39:30
24
BETHUEL SABIBI :
🔥😂 usiguse comment angu
2024-08-01 12:15:21
2
@❣️ Fraanah❣️@ :
usoni kama mgongoni🤣
2025-01-01 17:19:53
1
peter kinami :
😂😂😂matukio ni nini💔
2024-06-18 19:50:24
7
An❤ :
mimi huyo nilipata kaz nikamuacha baby wang anisamee hata angekua yeye angeniacha make c kwa vishawish vile
2024-06-23 14:45:13
16
Lugo_comedian :
please follow me
2024-08-10 18:57:24
0
ERASTO AUTO SPARE PART MORO :
mboso ananifanya nitafute sana pesa sababu kama yeye ameachwa Mimi ni nani atakama nasukuma moto wa kutosha lkn hawa watu hawaliziki
2024-06-17 06:09:15
39
To see more videos from user @amankafalume, please go to the Tikwm
homepage.