mama naona unajua sana mama yangu๐ฅ๐ฅ๐ฅhongera kwa kumsapoti mtoto wako wazazi wengine wasingejaribu hata kuimba, sema nini foby day one nasikia hii ngoma nilikua kwenye maumivu makali sana๐ญ๐ญ
2025-05-04 20:48:18
2
๐ฆ ๐ฅMrs Max mama g๐๏ธ๐ฆ ๐น๐ฟ๐ป :
๐๐ซถ๐งกnakubaliโ๐ป๐ซก
2024-08-02 14:14:06
1
....โฃ๏ธ๐ฆ :
Hii nyimbo kakaangu alikuwaga akiisikiliza analia maskini sijui nani alimuumiza๐ข
2024-06-15 17:24:57
134
rabia :
nimeona wivu for ur moment with ur mom R.I.P Mom
2024-06-15 19:15:24
171
Kyusa Girl๐๐ :
Shkamo mama mkwe๐ค๐ค mama naomba niwe mkweo๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐๐๐
2024-06-14 21:40:21
82
zuhura :
Rest in peace Aisha wangu๐ญ๐ญ๐ญ(mom) imwanao nmekumiss sana since 2009 nyieee๐๐๐๐
2024-06-15 19:37:54
56
@dayana_ezekiel :
my favorite song
2024-06-15 04:18:19
53
๐๐eminnah๐๐ :
๐๐๐bi mwana
2025-04-30 15:31:00
1
kakasyli :
Mama anapita mulemule
2024-06-18 19:45:27
18
lucymahenge815 :
wangapi tumejikuta tunatamani kama mama zetu wange kuepo hongela kaka da eti nalia sijui kwanini ๐ข๐ข๐ข๐ข
2024-06-15 14:46:50
58
Mariam Jumaa :
jina please
2024-06-18 16:41:53
4
Rizbey :
hadi na smile pekeangu rest in peace my mamaaa ๐ญ
2024-06-15 23:37:38
7
user56219369407473 :
name of song please
2024-06-17 19:57:46
13
Echo 254 :
Goma langu๐ฅ๐ฅ
2024-06-15 08:25:04
12
dianah :
inaum mama angu amenitok mwaka huu
2024-07-28 16:12:40
12
Chloe๐๐ค :
adi raha๐ฅนโค๏ธโบ๏ธโบ๏ธโบ๏ธ
2024-06-15 06:25:47
14
๐ฑ๐๐๐๐ ๐บ๐๐๐๐ ๐ :
Tell me a perfect duet! Iโll wait .. ๐
2024-06-17 14:06:11
11
moureen โค๏ธ :
Mama Ndo alikutungia nini ๐
2024-06-15 08:35:19
25
christer :
hi ngoma nakumbuka mbali saaaaaaaaana musoma moja nipo kwenye gari na mimba yangu nimekataliwa๐คฃ๐
2024-06-16 20:14:56
20
Eto :
I love it โค๏ธโค๏ธ
2024-06-16 22:52:05
4
careenleah :
mama katish sanaaaaa
2024-06-15 07:43:27
3
user5486333625421 :
naipenda hiyo nyimbo Hadi najisikia kulia
2024-06-15 12:37:58
3
๐งฟ๐น :
unaenjoy sanaaa maan mama ako n mshikaj wako ongera sana unaenjoy sana nimemkumba mama angu in heaven ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐโค๏ธโค๏ธ๐ฅฐ๐ฅฐ
2024-06-15 16:15:01
13
Ammy_Stylist :
Umetudhihirishia kwamba kipaji ulichonacho haujakiokota mtaani kama akina gigy๐คฃ bali ni cha ukoo mzima hasa bimkubwa๐ฅ๐ฅ๐ฅโฆ oya mmeua๐๐ผ
2024-06-16 11:16:07
3
To see more videos from user @fobyofficial, please go to the Tikwm
homepage.