@gapowertv: Mazishi Ya Dada Yetu ( Ivonne Albert) Pamoja Na Mtoto Wake Mazishi Itafanyika Next Week Saturday JUNE, 29th, 2024 State ya Nashville Tennessee . Vile Vile Mazishi Ya Ndugu Yetu ( Ramadhani Jina Marufu #Pepsi Naye Atazikwa Siku Hiyo Iyo Pale State ya Michigan, Par Kentwood …!! M/ Mungu Aziweke Roho Za Wapendwa Wetu Mahali Pema Peponi, na Mwanga Wamilele Uwangazie Wapumzike Kwa Amani..!🙏🪦 #GAPOWERDIGITAL #RIP

gapowertv
gapowertv
Open In TikTok:
Region: US
Thursday 20 June 2024 18:33:07 GMT
1012268
19657
1352
193

Music

Download

Comments

amisa.delice
amisa delice chombo ya boss :
pole sana 😭
2025-10-07 22:38:18
0
debolaizer762
Debo Laizer :
R.I.P walikua wanaumw au nin shida
2024-06-26 09:47:45
5
reginadeogratias5
nyabusu :
pole wamepatwa nanini
2024-06-23 16:27:28
5
hadijayusuph4
hadijayusuph237 :
hongera sana my dear
2024-06-25 19:08:39
4
naycemoshy5
user04628810271 :
which country this is
2024-06-25 16:34:23
9
naiishumaeli1992gmail.co
mom jay :
pole sana rest in peace chaurembo
2024-06-23 08:47:42
31
martha.rj6
𝑀𝓇𝓈 𝓀𝒽𝒶𝓉𝒾𝒷𝓊💋💋 :
😭😭😭walipatwa nann jamani
2024-06-22 17:44:47
6
mariam.frednandi
Mariam Frednandi :
poleni jamani
2024-06-25 14:16:03
2
anitha.rehani6
nittaaaa🥾 :
poleni jamani ,🙏🙏🙏
2024-06-25 19:05:24
17
user800322293141
queen of hearts :
R.I.P DEAR
2024-06-28 22:08:21
2
dundulusubi
Dundulusubi :
😭😭😭😭😭poleni jmani
2024-09-08 18:34:21
0
user1814032169451
JULIETH mngon Og :
polen Sana jmn ndugu zangun, Nini kilimpata homa au 😭😭😭😭
2024-06-27 06:43:09
19
tudakeya
Love lissah❤️❤️🔐 :
Polen sana😭😭
2024-06-24 20:12:43
2
peterjohn2738
Peter John :
pole san
2024-06-25 21:31:08
2
wjolly1
~Jolly❤️ :
Rest In Peace dadaaa
2024-06-25 19:11:38
3
dinna.mwambashi
Edna Mwambashi 💝💘💝 :
poleni sana aiseee waliugua au nini kimewapata
2024-06-22 21:00:35
8
bety_beauty_salon
bety beauty salon :
pole jmn Mungu awape kauli thabiti
2024-06-22 19:53:55
2
nemeschifulalo
nemeschifulalo :
rip
2024-06-24 10:02:03
5
user7392284300176
neema makoye :
R.I.P 😭😭😭
2024-06-27 22:44:44
2
shedrack814
shedrack814 :
ila harmonize
2024-06-29 19:07:19
1
florencea.mlimi1
Florencea Mlimi :
R.I.P
2024-06-27 06:53:44
3
husna.mussa20
Husna Mussa :
ni ajali jmn🥺🥺? au
2024-06-22 20:48:00
1
qeenposh
Qeenposh :
Nini shida jamaniii polen family
2024-06-27 21:20:57
1
babymkuya
baby 🥰🥰 :
rip
2024-06-24 19:58:27
5
user2482032530707
HELMAN.G.BOY :
Front
2024-07-04 13:08:09
1
To see more videos from user @gapowertv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About