@eddmtaki7: Parents check on your kids some teachers are doing animosities on them and children are afraid of reporting to you.

Edd mtaki
Edd mtaki
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 31 July 2024 21:02:18 GMT
433931
18203
1694
942

Music

Download

Comments

annie_dee_princess
Rubby Waridi :
I agree mtoi alivunjwa Ni makosa but who are you?ulifikaje Kwa Dom if you are not a teacher there?
2024-08-02 22:56:23
17
user8129405421494
shaz the vibe :
i really hate this school for making my only brother suffer adi akapata ulcers tuli end up kumpeleka day school
2024-08-02 18:10:29
2
user0716785613
Israel Ambassador :
mwalimu jaribu wangu...🪓🪓
2024-10-23 02:00:04
3
immaculatenekesa
IMMACULATE❤️💍📌 :
i can't have my boy been neglected and i pay fees..samba omundu nanywe😂💔
2024-08-07 20:30:06
1
mwalimuangelapeter28
Mwalimu Ang'ela peter Eibach :
Tunawapenda watoto lakini kiburi yao ndio hatupendi
2024-08-02 18:39:01
8
abyssinia_dental010
Abyssinia Dental Centre,Moyale :
Tell us the other side of the story acha kuwa biased,
2024-08-01 17:50:16
3
user1981772628658
monster :
watu walisoma Dayschool hawataelewa😂
2025-09-22 17:21:31
2
queencheroo7
M.👑e💕r.🥵.c.💘.y🧑‍🏭 :
Kuna hii shule inaitwa Eshikulu boys pia wanafaa kutembelewa students have really been suffering alot wakiongea wanapackiwa vitu zao na kufukuzwa shuleni
2024-08-01 21:14:13
4
henryoruko248
Henry Oruko :
hao walimu wagodhwe
2024-08-08 08:55:06
2
prof.nyongesa
Evans Nyongesa :
hapa siyo kimilili boys .... watu sio wajinga bwaaaaana
2024-08-01 06:57:58
46
sasitaokusimba8gmail.com
SASITA :
I thank God nilisoma nikiwa mkubwa,even teachers will run away of me,
2024-08-01 16:46:28
100
ginawaruiru
Gina Wa Ruiru :
hio mkoni ime vunjwa na ndo ame ni support nayo.
2025-09-24 19:00:04
2
florakarani08
Flora :
I always ask my kid how he is doing I always check on him Mimi huyo wakiguza watakuwa wameamsha simba don’t dare this with my boy
2024-08-01 18:34:44
69
kabuchi_wanjiru
Wanjiru :
servant of God do you have your own school that you're running?
2024-08-04 18:10:28
3
nashbae254
💝💓 Boss Lady🥰 :
wacheni kuhribia walimu kazi
2024-08-01 19:26:15
5
alvingovinder0
Alvin Govinder👻 :
Nakitare huwa fala😏
2024-08-01 09:54:59
7
nnnnn4065
nnnnn :
hawa labda walikojoa kwa vikombe vya walimu 😂
2025-08-05 09:54:50
2
mohkafupii
MohKafupii :
I shared this video kwa our class Whatsapp group na ikatolewa na admin. That says something
2024-08-02 14:36:32
141
alice.co.ke
kikuyu bea :
NI JELA AMA NI SHULE? AMA NIACHE KUINGILIA MAMBO YA WATU?
2024-08-05 04:44:56
0
lasoichero
Lasoi Wendy Official🇰🇪🇺🇸 :
As a teacher teach and go home ,,free advice
2024-08-01 17:48:40
308
kachijesumei
Kachi Jesumei :
Wale watu wanatetea walimu, it's all fun and games until it's your child's turn. Kama mtoto amekosea na hasikii mzazi aitwe achukue mtoto wake.
2024-08-05 06:25:43
11
elizabethwanyony7
queenlyz :
Some students think they are brighter than the teachers,if you leave them,they become very unruly and when the parent is called, it's like, mtoto wangu haezi fanya hivyo.
2024-08-03 17:51:25
6
airbnbinnaivashatown1
Air BNB in NAIVASHA TOWN :
Nakumbuka Kuna day nikiwa highskull Kuna DP alinipigia viboko ety nilikuja shule bila fee .... sasa na shindwa Mimi ndio nilikua nilipe ama mzazi siangeniambia niite mzazi akuje amchape yeye
2024-08-01 21:59:09
5
faybeauty02
beauty :
heii sijazaa wangu aende aumizwe na mtu walai niwachieni mtoto wangu ama muniite akifanya kosa coz what the heely
2025-09-23 08:01:03
1
To see more videos from user @eddmtaki7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About