@iambraine: #kenyancomedy #kenyancomedy #kenyantiktok #kenyantiktok #aliciakeys #aliciakeys #kijiswali #braine #kenyancomedy

BRAINE🌕
BRAINE🌕
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 12 August 2024 13:53:25 GMT
2035797
188061
9478
10598

Music

Download

Comments

jerry_atz1
Jerry_Atz :
mwanamke asiyependa hela mi simtaki kwakweli 😂😂😂
2024-08-13 12:27:26
192
swaydaughter
Chosen one🦋 :
Tumebaki wawili mimi na uyu dada😂😜
2024-08-12 18:28:49
1333
apolinari39
H@NC& :
kanawadanganya hako jichanganye😅😅
2025-08-17 20:26:37
0
kakajr2004
RAMADHANI :
nimeridhika na majibu yako dada 🙏🙏🙏🙏🙏🙏hongera............
2025-08-15 07:32:42
0
gift.nassor
Gift Nassor :
Mm nilikuwa nasema hivyo hivyo kwel nikimpata asio naela tukatafuta kwapamoja alivyo Jenga tu aisee alininyanyasa hakukumbuka mema yangu uvumilivu wangu ushauli wangu hakukumbuka nimechoka manyanyaso
2024-08-13 17:25:49
59
keymeat4
keymeat🗝🥩 :
Dada olewa kwanza alafu uje utupe ushuhuda wa unachosema kama it’s real of what your saying about!. 😅😅🔥
2024-08-13 01:41:10
329
fuckery17
Fuckery😇 :
Wanaume wote wanamsaport uyu dada umuu hawana elaaa
2024-08-12 15:36:53
85
user379438120998
@newtonkimera :
huku kenya wanawake wetu ni wakora
2024-08-13 18:04:00
39
dr.hinjufiretyre4453
Dr Hinjufiretyre 4453 📸photoe :
mbn hawa mi siwaonagi jamani kama yupo kama huyu dada anidm
2025-08-13 21:20:50
0
djodjo_og243
djodjo_my243🇨🇩 :
dada enyewe ume ongea...
2025-08-10 18:24:20
0
j.j.maboja
Japhet :
hawa wanasemaga hivyo tu, jichanganye sasa! miezi tu ataanza drama.
2024-08-12 19:26:09
95
kikohmachedajr3
kikohmachedajr :
wife material kwanza Avaii hvyo
2024-08-13 05:33:43
92
chimamy716
chimamy :
wenye akili hii tumebaki mimi na yeye tuu 😅😅
2024-08-12 17:15:53
258
emmaculatanzaly
EMMACULATA NZALY :
this is Mee seriously
2024-08-13 09:37:50
26
ommyj_tz
ℍ𝕒𝕤𝕙𝕚𝕡𝕒𝕡𝕡y :
Me ndo handsome Africa nzima
2024-08-12 21:01:45
22
reyma3072
reyma❤️ :
wife material ndo huyu sas
2024-08-12 16:48:11
741
sixbethlazaro
sixbethlazaro :
waongo haoooooo pumbavuu kbsaa
2024-08-13 12:35:16
13
official_r.i.n.n.y
Official_R.i.n.n.y :
Ni mimi na yeye tu ndo tumebakia
2024-08-13 11:32:55
18
maxwell48963
Maxwell ♥️ :
For me, only wife material is Hen, She feed her Children without disturbing her husband. And watch her husband chase other hen's.
2024-08-13 17:53:03
24
choloboybriz3
choloboybriz :
Huyu mke🔥🔥🔥
2024-08-12 19:22:08
34
missesh01
miss esh :
Nilijua nimebaki pekeangu kumbe tupo wawili
2024-08-14 07:28:40
19
mp_og1
MADEVU 💰 :
Hawa wadada wanapatikana mkoa gani nisaidieni Jaman
2024-08-12 17:04:20
16
mandella05
hanifah@ :
kaongea ukweli ni uongo😂😂😂
2024-08-12 14:28:43
25
pascal.abuu
Pascal Abuu :
Unyolile😂😂🙌
2024-08-14 17:26:31
5
arshwazir3
☜༆✫𝕒𝕟𝕜𝕒𝕝𝕚𝕜𝕚𝕕𝕖𝕧𝕦✫༆☞ :
dada anakitu namuona 🤣🤣🤣
2024-08-12 17:31:51
20
To see more videos from user @iambraine, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About