@dandevantz: Jinsi ya kuangalia movie au series zilizotafsiriwa katika lugha ya kiswahili. #swahiliplay @SWAHILI PLAY PLATFORMS #phonetips #mobiletips #jifunzekwadan #dandevantz

Itsdandevan
Itsdandevan
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 23 August 2024 18:44:27 GMT
186103
6405
125
291

Music

Download

Comments

jahfesai9
Aljahfe :
Thanks you 👍👌🇰🇪🥰🙏🌹
2024-08-24 19:10:39
3
www.tiktok.uncle
Freedom :
kwani hawa Download? na Vipi niya kulipia?
2024-08-24 01:28:07
0
suleimanjuma840
suleiman :
sio muvi tu mpaka xvideo zipo sinzuri kwa watoto
2024-08-24 22:48:37
2
user69768108258741
rojas45 :
nyie mnazinguwa movie zenyewe hazifanyi kazi
2025-03-25 12:15:46
0
pescus
Bœ pësçùs :
iyo app unadanod au
2024-08-24 15:02:20
0
man_of_principles
Friedrich°🇹🇿 :
Za Dj Ommy zipo?
2024-08-23 23:20:10
0
mashauli.daudi
Mashauli Daudi :
mbona saiv inadai kulipia
2024-09-27 07:51:33
0
levensonkawimbe
llkawimbe 5564 :
jamaaa nije niomba unisev wajukuzi wame dukua akaunti yangu ya facebook
2024-08-24 08:27:14
2
mr_reverse_wa_tz
mr_reverse_wa_tz :
mi nisaidie application ambayo unawez kupakua virtual dj 8 ambyo inawez kuplay katika android phone
2024-10-09 18:49:56
0
user6505090101081
user6505090101081 :
sisi wengine umetuletea kituamabacho tulikuwa tukikiangaikia kwa mda mrefu sana.. shukran kaka ila pia pongezi kwako.ningeomba kukuliza katika hili
2024-09-06 05:30:12
0
im_a_dreamer_01
Man from songwe :
Asante kwa kushiriki
2024-08-27 10:23:55
0
starkid_jr
Starkid-Jr :
inawezekana kudownload movie
2024-08-27 15:03:14
0
mbeyaboi
mbeyaboi :
app ya uongoo
2024-10-09 22:29:27
0
phina8160
LOML 💍D🔐❤🦋 :
mbona inasema lipia
2025-11-13 05:10:17
0
zeahmaulidi
zeah 🦋 :
shida Kuna tangazo jmn muda wote lazm ulitoe ndio uanhalie mov
2025-04-25 10:46:26
0
cuteshaa068
cute_ shaa🥰🥰 :
naomba jinsi ya kuangalia movie yenye subtitles ya kiswahili
2024-08-27 10:37:01
0
user6690862409682
mr dream big :
zimetafsiriwa na dj gani kama sio dj mack bas🤣😂
2024-08-25 05:57:26
0
bejosimba
Bejosimba :
app ya kuangalia movie kwenye lugha ya kingereza
2024-08-27 09:55:01
0
tammie159
TAMMIE JM :
you are the best
2024-08-24 05:04:33
1
cuteqamar1
❤️cute Qamar❤️ :
Movies kuangalia kwa tv
2024-08-23 19:45:45
0
elfoney
the re@l luq wise :
Oya dahhhh... Huyu jamaa ni noma
2024-09-24 23:12:20
1
clecad
Clecad King Ai Music :
kulipia Bure aho visit
2024-08-25 11:15:00
0
user2612937375178
user2612937375178 :
samsung yngu haina smart vew kwa ajili ya kwenye tv naomba apu ili niidanlod au haiwezekn
2024-10-04 19:32:04
0
nickolaussingassa
Nickolaussi Ngass🥰🥰🥰 :
mm mbn nimeshndwa kbsaa kuangalia
2024-10-10 18:10:18
0
user25555675433988
isolatednarndez :
alternative for subscene?
2024-09-25 08:45:03
0
To see more videos from user @dandevantz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About