@thepresidentofkenya5: The flags will be flown half-mast drawn, our thoughts are with the families of the children who have lost their lives in the fire tragedy at the Hillside Endarasha Academy in Nyeri County. Poleni sana. #Fire #death #kids #tragedy #academy #families #half #flags #kenyantiktok #kenya #hill #side #lives #innocence

State House Kenya
State House Kenya
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 09 September 2024 12:49:41 GMT
133670
6006
186
98

Music

Download

Comments

rashidkatana3
rashidkatana537 :
Government knows something
2024-09-10 05:16:01
53
lamaorayob
beatyful girl :
wanini umeweka bendera nusu
2024-09-09 14:26:33
11
roseifedha
shaz roza :
wakenya hamja wahi kurithika nakiongozi yeyote alikuwa moi watu kawaka wanalalamuki ,akaja kibaki karibu muuwe wakikuyu wote kenya,uhuru bado hamkumta
2025-01-02 19:22:10
0
queentermghoi
Miss Kanuni🖇️🌸❤️ :
I thinks as Gen z we should go back on roads now Hadi watoto wapatikane😭
2024-09-11 06:14:14
10
salah_fc4
Tr J.lfc🔴 :
apo kwa morara zimamoto inafika araka sana lkn place watoy walichomeka sidan ka ilifika
2024-09-10 09:54:08
11
duelerdickluck1
duelerdickluck0 :
ile hasira niko nayo na hii government ,,,acha tu 🥺
2024-09-10 15:30:29
3
user4746822946800
Sona moja :
uhuru ulituambia utakakua unasoma kwa magazeti
2024-09-10 09:22:57
5
faywain
FÁŸ🎀 :
ingekuwa matiangi hii story tungemaliza kitambo 🥺if the kids went escaped to the neighborhood why don’t you deploy the police watafutwe
2024-09-10 07:30:42
0
roseifedha
shaz roza :
sahii ni Ruto Bado wimbo mnaimba tuu,mnataka aje malaika ndio mrithike?
2025-01-02 19:23:28
0
s.a.i.n.t_2.5.4
s.a.i.n.t_2.5.4.✝️ :
unajua mnatuona kama matako yenu
2024-09-10 13:21:53
21
denisbiggboss
Denis :
kenya mna nini nyie. nchi ya kwenu wenyewe halafu hamjui ni kwanini ziko nusu mlingoti. kazi yenu ni kudill na nchi nyingine mmesahau mambo ya kwenu
2024-09-10 11:12:07
0
animelover_oy
RUSSIA 🇷🇺🇰🇪 :
Sad
2024-09-09 13:03:45
1
luhyagirl54
Sharon :
NKT.
2024-09-10 12:36:25
2
untamedhertz
untamed :
lakini hawa watu hutu ona nikama we are still in the nineties nkt!!!
2024-09-10 17:01:56
1
edykenzomwenyewe
Eddykenzo mwenyewe ke :
🥺🥺🥺🥺🥺natamani kuenda state house😞
2024-09-10 16:01:24
2
linfire_rox
LINFIRE_ROX ❤️ :
that's great likes zangu jameni
2024-09-09 13:06:05
1
narokiankiplangat
it'z Kiplangat⛎ :
so sad🥲🥲🥲
2024-09-09 18:00:59
1
mighulo6
Mighulo :
Natamani kufika huko ni kuzuri!! Wee
2024-09-09 17:39:34
1
user1484695700473
Dentek plumbers EA. :
must go anatuona kama matako yake
2024-10-27 19:21:02
1
unknownredhatgeek
HOODRICH :
😂😂karibu nidhani ni ile maombi yangu Fulani imejibiwa
2024-09-11 09:17:40
1
matakayia
eugeneoficial974 :
maumbwa...mafuriko mlieka nusu mlingoti ...accidents mmeeka nusu mlingoti...I can't board that actually
2024-09-10 15:15:29
1
estherwanjala45
chomy :
wauwaji wanaishi hapo ndani😏
2024-09-10 14:12:53
1
thomaaokal
Thomaa Okal :
SALUTATIONS TO KENYA 🇰🇪🎶
2024-09-14 16:10:31
1
To see more videos from user @thepresidentofkenya5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About