madem wanapenda waongo😂😂.
ukisema ukweli Ata panty hautawai ona
2024-11-21 13:41:15
1040
marianoh :
😂😂😂😂😂😂 I know someone who did this to me
2024-11-22 04:21:20
46
Alphaklaot 🇰🇪 🇯🇴 :
nishawai date chali mwongo hivi 🤣🤣aki steve i miss you though aki may you continue resting in peace
2024-11-21 15:14:25
1237
Suzanna Queen :
🤣🤣Heehe wah...ukijua ukweli si uta faint uki faintuka
2025-06-12 20:06:47
1
sha actress 🌹 :
I remember when I was young my siz was cheating her boyfriend through phone eti she is cooking meat using gas while we were in jikoni house, with"Mawe tatu' and cooking nderema😂😂😂I shouted uongo😅
2024-11-22 03:57:10
341
Hundreds-foot :
Muekee Dad password ya Netflix 🤣🤣🤣
2024-11-21 14:29:11
17
Kimani💞🇸🇦🇺🇸 :
Video call is where you draw the line😂
2024-11-20 22:39:25
1952
idriss :
tofauti ya shiti na ruto ni iyo bandana
2024-11-21 14:17:43
921
Eric :
fake it until you make it 😅
2024-11-20 22:10:45
1088
Ciku Ga Suu :
aki i once dated this kind of a guy😂😂
let me tell you Maina.....
2024-11-22 07:17:04
79
biko bachweli🇰🇪 :
mum ashawai lalamika ati dad alitumia uongo kumpata ati hata pengine hangekuwa anaangaika hapo kwetu...niliisha akanipiga na sufuria😂😂
2024-11-21 18:39:30
349
arsene :
mum apo upstairs kwa mabati😂😂😂
2024-11-20 20:58:20
503
Φατού :
the whole family got mentioned 😭😭😭
2024-11-20 20:43:21
187
This is Lil_Wapo :
Grandfather ni tomato sauce😂
2024-11-21 06:52:57
1230
Virginia Nasambu :
eti mum ako upstairs🤣🤣🤣🤣
2024-11-20 20:26:32
1101
MARY ANN :
chiwawa nihizo mitungi 😂😂😂
2024-11-21 17:50:14
96
Moh🦋 :
wakona nyumba nyali😂
2024-11-21 19:58:34
51
Bragga dwasike😉😉 :
mimi ni firimbi na wewe ndio refaaa...uyeyee nonono😂😂😂
2024-11-21 10:42:39
54
mamake taraji :
nimewai date mtu anadanganya ka huy let me tell you maina 😆 ukitaka story ntafute😁😅
2024-11-21 20:41:32
8
Cele :
Aki Steve sijui Davie ama ni mark ukumbuka pale capital umoja....Hadi nikaosha unform ya jesh kumbe haikua yako, why did you lie to me ati wee ni karao na ulikua fundi wasimu...😏
2024-11-21 17:59:51
97
To see more videos from user @pollution_on_the_mic, please go to the Tikwm
homepage.