wanaonaga ni kama unaleta confusion.Alafu after umeongea wanasema"tulikuwa tumefika wapi "😂😂🤣🤣
2024-10-25 08:47:49
73
mah wira 🇰🇼 🇰🇪 :
hio chance itoke wapi na umekaa kwa nyasi wengine wakipewa viti😁😂 Ata hauonekani
2024-10-23 05:11:37
4
Mr Cee Dangulo :
we ndo unatumwa uende uonyeshe wageni njia
2024-10-22 15:26:35
136
Star ✨ :
Na unaambiwa kazi ni pombe 😂na wao wenyewe hupiga sherehe ata kukuliko😅😅😅
2024-10-22 08:45:23
95
Kimkhali 📿 :
utaambiwa hio ni siasa umeanza 😅
2024-10-22 10:28:30
88
Naomy Wilson :
kuna huyu cousin ya mum wueh😂😂😂😂.atasema kitu na wabaki kumshuku ..give him money at your own risk....Alikula pesa ya announcement of death kwa redio😂😂😂😂
2024-10-22 17:42:54
36
kiprono g :
ata hawakuulizi unatumia soda gani unapewa stoney ama krest😢😢
2024-10-22 17:02:14
63
Xavier.ke :
heri uyo mii waliniambia nikusanye watoto niwapee story 😂😂😂
2024-10-23 15:09:35
23
Picadilly :
Uweeee, kuna time nilisota after kuacha employment. Nakwambia hata kwa family gathering, mimi na my hustler cousin hatukubaliwi kusema occupation🤣🤣
2024-10-22 09:50:32
12
Njîrainî Dennis₩♧ :
kama mimi walinichagua nikadeposit pesa ya kubuy ng'ombe kama investment,ilikuwa niongezee 20k ndio ifikike 100mpaka wa leo tunaonananga tiktok😏😏
2024-10-23 16:49:45
8
larr :
me sometimes back nilisema mtu anisaidie na 50bob ninunue dawa kichwa inaniuma sana,auntie zangu wakasema niswear ni kichwa inauma ama ni bangi nataka,nilitoka na sijaienda hizo vitu tena
2024-10-22 12:19:03
22
kajanajunkajan :
Ile huuma Sana NI hao makuzo hujifanya hata hawakumbuki jina yako ati tulikuwa tunakuitaje?
2024-10-22 15:20:09
51
Jack Allan Koome :
kazi ya bibi yako ni kuosha vyombo 😂, kuchonga viazi na mandizi hawezi kubaliwa apike pilau😅
2024-10-24 10:20:17
11
Chris Onyango :
wee ndio unapewa stoney ikunyonge ukufe😂😂
2024-10-24 06:07:58
11
mam kids :
unapeangwa matumbo uoshe na kupuliza moto ya kuni😅
2024-10-22 17:11:29
28
Denny C :
Mimi ndo wananiambia nioshenye watu maali watapark🥲🥲
2024-10-23 11:22:23
11
Trathan Shee :
hata siendangi😂, wacha nikazane watoi wangu wasifike hapo😊
2024-10-22 15:17:28
26
evaeve533 :
then unapewa stoney ukohoe ukufe😩😞😅😅
2024-11-15 13:41:46
2
To see more videos from user @njonge, please go to the Tikwm
homepage.