@njeri.mbekenya: Leo nilisema sikuli chakula nimezoe... nakula ya wa-Meru. An easy green bananas and matumbo recipe for you♥️. I used my royco spices for more flavour 💯. Combo deadly sanaa🙌🏼 enjoy the food as dinner or lunch. #cooking #how #howtotiktok #cook #greenbanana #matumbo #meat #stew #easy #Recipe #dinner #foryoupag

Shawwry of food
Shawwry of food
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 27 October 2024 13:08:59 GMT
2789073
117194
2790
4163

Music

Download

Comments

carentracey01
@Babygirl :
Matumbo kwa English inaitwaje bythaa 🤔
2024-10-27 17:32:34
355
mcleedante
Cheru.🥱 :
matumbo haioshwi viile...Acha tumafi tudogo...😂
2024-10-27 15:02:32
2114
abdulbarracuda
Abdul Barracuda :
brushing matumbo.. this made my day🤣😉
2025-03-06 14:40:59
0
ms.charityk
Charity :
hio ni matumbo inaoshwa kama iko spa😂?
2024-10-27 13:20:57
2274
monique_kami
mukami :
rumonde🥰🥰,wameru mkoo?
2024-10-27 13:50:06
126
_aq9ine_2
KiNG 👑 OF_ MUGUKa 🌴 :
aii..kwani mimi ni mumeru wa nchi ingine😂😂😂
2024-10-27 14:28:42
30
dentoparkis
pilot 047 :
kwani matumbo huoshwa na mukinyi😅
2024-10-30 16:49:46
4
real10gia
real10gia :
hiyo sio matoke
2024-10-29 20:21:56
3
mureithi.wa.gasta
Mureithi wa Gas#Tajiri Kipofu :
unaosha why
2025-01-16 04:18:31
0
thunderbolt3979
BLESSED and verified :
😂😂unaosha matumbo na brush
2024-10-30 12:32:32
2
jimrose_m
JimRose :
wameru wanapenda matumbo? ndio maana Ni waoga hivo
2024-10-28 07:43:27
16
maryamlove53
Maryam❤️ love 💕 :
😂wameru Wa wapi usituchomee😅
2024-10-27 14:01:21
24
user1497118618523
Betty kanana :
eti nimeskia chakula ya wameru kwani wameru wanalimanga matumbo?
2024-10-27 17:00:25
9
mirrie963
Mirrie 🥰❣️ :
Wameru let gather here ❣️
2024-10-27 18:12:34
48
b_o_n_n_i_e_001
b_o_n_n_i_e_001 :
without potatoes?? hiyo sio ya wameru
2025-02-11 10:46:52
0
djsuitcase1
DJ suitcase :
Sasa mbona unaosha ivo, hiyo ni ngozi it's no longer matumbo😢
2024-11-06 09:55:26
4
mikevaits
Mike Vaits :
alafu mtu asahau abrush mdomo na hio tooth brush anuke mbolea
2024-10-28 11:04:36
18
misgunner1
🦋Gunner🦋 :
mm matumbo kama haina tumavi sikuli😂
2024-10-27 18:23:42
17
karenngigii
Karinah :
tripes
2025-06-22 15:58:56
1
robaadysantos1
ROBA WA SHELL💯💯💯 🇰🇪 :
usisahau kuweka miraa 😁
2024-10-27 17:02:13
4
vicvictoriam5
Vic :
eish,the meru in me 😋😋😋😛 , shouting mix mix😅
2024-10-27 16:34:06
10
makendenono
makendenono :
Marigu ja matumbo oh God I miss home.
2024-10-27 16:30:51
3
just.luccie
skrrr🫦🫧 :
who else came across this akiwa njaa😭😂
2024-10-27 13:21:29
27
happiness8022
Happiness :
mtu akiosha na brush ya kufua nguo kuna shida? instead ya toothbrush 😂😂😂
2024-10-27 18:59:44
13
herhighness569
miss bee :
fun fact. I attended a wedding(a meru couple) and kwa buffet kulikua na hiyo "mukimo" ya tripes na bananas.the shock I had wuuuuueeeh 😂😂😂
2024-10-27 14:36:16
8
To see more videos from user @njeri.mbekenya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About