@emma_legrand_pioneer: ⚠️Ukifeli kuishi vizuri kwenye familia, utafeli mbingu⚠️ Pastor Mgogo speaks as he opens up Why he only preaches about family but not about heaven. I learned something after listening to this honest sermon here 👇. #pastormgogo #family #heaven
ni kweli fundisha neno punguza utani. soma zaburi 1 mstari 1 hadi 5
2024-10-31 15:23:22
5
Janee :
Wenye akili tu ndo watamuelewa pastor😂
2024-11-04 04:13:38
21
muzaiedith :
hyu ni mkweli, hajafika mbinguni🤣
2024-10-31 09:14:10
10
sydneymuriithi :
Hile hekima hiko na huyu pastor.
Ni ya level nyingine😂
2024-11-02 10:53:03
22
Faustina ❤️ :
ungemwambia ya kuwa kanisa uanzia nyumbani....there would be no church without family.
2024-10-31 05:13:22
16
bible@J& :
Ni kweli hataHezekia aliambiwa tengeneza mambo ya nyumbani mwako
2024-10-31 12:01:11
14
naffienaff1 :
Huyu sasa ndio pastor
2024-10-31 08:13:23
10
Délice Manne :
uki ishi vizuri na,famillia mbinguni uta fika
2024-10-31 12:05:33
6
user7607601427957 :
nipo kwenye bus nimecheka mpaka abiria Wananishangaa Kwa kweli mchungaji mkweli kama wewe ni wachache
2024-10-31 03:00:24
6
Don Egeng :
My pastor my stress killer long live pastor Daniel
2024-11-02 10:09:41
5
Faridah :
Jambo wakristor wengi hatuelewi ni kwamba roho mtakatifu ni mmoja ila mafunuo ndio tofauti.
2024-10-31 19:42:14
5
user9970601703903 :
wanadamu mnatakiwa kujua hakuna zali la kwenda mbinguni kama kweli kuna kwenda mbinguni basi jua tiketi yako nijinsi utakavyo ishi duniani
2024-11-14 12:26:06
4
frans :
kweli kabza pastor
2024-10-31 02:25:24
4
Erickson oduor :
kueli kabisa yani gaii wahubiri pia wamejam na mandiko asante wafrica
2024-10-30 20:02:38
4
Makori Ombati :
akina Ng'ang'a na Ezekiel wako where?🤔
2024-11-10 08:19:08
1
user5781460367928 :
Love pastor Mgogo for free...
2024-11-10 06:27:34
4
Aunty Jossy :
very very true👏👏👏👏
2024-10-31 12:22:50
4
abaluhya walfare group :
was kufyatua mbio necessary😂😂😂
2024-10-31 07:42:42
4
odonge :
hapo ni ukweli
2024-10-31 07:36:51
4
Irenechebet :
ukweli pastor 🙌🙌
2024-10-31 06:45:52
4
£&* :
wambie ukweli hakuna mbinguni 😂😂 duniani ndio kwetu
2024-10-31 04:26:21
4
mchemia :
watu hawajui kila mtu na karma yake aliopewa na mungu wote sio kila mchungaji au shekh anajua kutoa Majin wengin wamepewa karma ya uwalim kutufundish maisha tatizo tunapenda sana miujiza kuliko uhlisi
2024-11-01 02:03:56
3
To see more videos from user @emma_legrand_pioneer, please go to the Tikwm
homepage.