nishaicopy kumbe Mimi na chopi ndo tumepata nikaambiwa niende hapo mbele nionyeshwe watu sema kusidikizwa na makofi๐๐๐๐๐๐
2024-11-01 18:11:45
121
๐ฆ :
Iโm sure wako mbali sana they used to be very friendly
2024-11-01 12:02:49
757
Prisca Dena :
mimi nae maths ilinikataaa nilicopy adi construction work
2024-11-03 11:18:51
83
jojekali :
Amen u receive the blessings
2024-11-05 18:21:02
1
โ _Maya๐ :
shida ilikuwa mkifanya corrections mwalimu akuite 'come forward and show the class how you worked out the calculations '๐๐ญ๐๐๐คฃ machooos
2024-11-01 14:27:54
581
milly_milly๐ฆ๐ :
Nawaombea mzae twins sai niko main campus juu yenyu ๐๐๐
2024-11-01 17:03:21
179
African Bae :
Na wako wapi sai si kwa ubaya ๐ณ๐
2024-11-01 21:32:48
10
Oskajdark :
wapi wale wakona handwriting kama ya mwalimu, mpaka mna mark vitabu zetu
2024-11-01 13:09:25
64
The Great Unco Free :
na kuna ssi wale tunaiba hio kitabu ikue yetu in the morning๐๐
2024-11-02 08:25:09
43
stunna tipsy :
that was amazing when somebody did it in ten minutes we copy in less than a minute ๐คฃ๐๐ฅฐ
2024-11-01 08:11:34
132
tituskamau :
wale machopi mlikuwa mnatupea answer sheet Tu copy A,B,C,D alafu badae mnabadilisha Answers washenzi mgongwe na Punda I hope mlimake it๐๐๐
2024-11-15 16:47:16
34
Casper Bruno :
nilikuwa na copy adi najisahau mpaka na copy jina yake ๐๐๐
2024-11-01 16:31:55
54
Barh Pjanic 04 :
kuna time nilicopy nikafurahisha mwalimu wa maths akanipeleka maths contest Sister school...niliangusha shule Yetu hadi scouts wakaeka flag nusu mlingoti wiki mbili maagai๐ ๐ ๐
2024-12-11 21:31:12
25
R@yt :
Na wale waliokua nawavitabu mob juu ya loka zao night preps ukiwaomba moja wanasema wanatumia zote I hope mumenunua ndege sai..๐
2024-11-15 12:52:34
39
Sun_Martin's :
na waliendanga wapi by the way ๐ ๐ ๐
2024-11-14 13:08:49
4
roserose :
wako wapi saii
2024-11-11 13:59:39
5
Jane guda :
nilikua nacopy adi handwriting, wacha tu
2024-11-01 19:24:42
43
damaizeyyyy๐ฆ๐ :
kucopy math ina kuwanga funny fr๐
2024-11-01 17:31:44
49
cate calynyc :
walikuwa wanacopy yangu see my life now๐ณ๐
2024-11-02 11:29:03
10
julienuru :
Me nlikua nacopy hadi geometry joh๐๐napima na compass kwa kitabu yake and I carry the measurements to my book๐๐yooh
2024-11-13 14:08:42
16
To see more videos from user @ali___.bee, please go to the Tikwm
homepage.