@kago.360: KIKAO CHA MWISHO HUKUWEPO WEWE🤣🤣🤣🤣🤣🤣 #kago #360 #kago360

KAGO360
KAGO360
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 05 November 2024 10:07:39 GMT
370146
26131
902
1147

Music

Download

Comments

noel5joshua
Noel :
kaka tengeneza ya wanaume wanaokalia vile vistuli vya photoshoot ati ni birthday yake,,waambie kikao cha mwisho kina semaje
2024-11-05 10:19:44
215
user7376656850435
ki'm ganzollar♥️ :
AAAHH UYU FALA 😅😅😅😅😅😅😅
2024-12-16 16:09:11
0
officechinga
Chinga boy :
niamke saa8 usiku choo cha nje hapana ngumu
2024-11-08 10:59:20
13
ismat_2025
ISMAT :
aaaaa kago
2025-08-02 19:58:13
0
the_presenter
which country is this 😊 :
which country is this 😳
2024-11-19 02:23:00
3
royg275
RoyG :
lazima wewe unakojoa kwenye Kisado unajuaje hyo kama hautumii huo ujuzi???😂😂
2025-02-01 20:09:06
0
kelvin73408
Kelvin :
wakwanza n ww unakijulia had kukitenga kaka
2024-11-05 13:16:32
16
dannytz_01
dannytz_01 :
manono haya si mageni jijini😁
2024-11-05 18:48:51
4
user5560007590605
[email protected] :
dahhh aiseee unasema wengi 🤣🤣🤣🤣
2024-11-05 18:52:37
6
cleverman.kbear
Cleverman Kbear :
point nzur ila badl nguo kaka
2024-11-05 14:15:28
1
user35029074239275
wah salim :
we ushawahi kabisa 😁😁
2024-11-05 18:56:58
1
aslay1272
aslay127 :
kmaaninaah
2024-11-05 15:27:53
1
hammytzmohamed
Balozi :
raha ya kisado kojoa kwa pembenib🤣🤣🤣 ila wadada ndo wanatufundisha haka kamchezo 🤣🤣
2024-11-30 07:43:05
2
abubakarkp14
king kapilimba14 :
brooh unamkuta mt kam uyo piaa...anaogopa mende aisee. hata mwanamke wake akimumsha usiku ampeleke toi anaogopa 😂😂😂 malegendary imekaaje apooo
2024-11-05 10:28:20
13
grandsont9
YRN 999 :
Asante kaka😁😁
2024-11-05 18:24:29
1
jescatajili
MAMA_ B :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu me
2024-11-05 10:36:22
2
kakakuonaog
Kakakuona5G :
🤣🤣🤣tabia zako unatwambia sisi
2024-12-31 12:17:24
1
trendybobbyrapper
@trendybobbyrapper :
Hapo kwenye kisado tutauana bora mnitenge kwenye vikao😂
2024-11-13 13:35:52
8
ironnyjr
Marlley Jr🇹🇿 :
we mwenyewe fundi kama vile ndo nakuona unavyofanya ivo
2024-11-05 18:36:25
1
kabaya1363
[email protected] :
unajuwa hadi jinsi yakukitega vizuli sauti isitoke we fundi
2024-11-08 08:53:07
1
user2530370987532
@official-jackii :
kaka nakukubali sana sanaaaa kaka
2024-11-05 18:13:04
1
user5727698378730
Laulent👽 :
Nakukubali sana unajua ulianzisha msemo wa bado hujasema na huu wa sasa kikao cha mwisho hukuwepo utafika mbali sana
2024-11-05 18:57:38
1
user2953781162080
jerome saimoni :
ohooo
2024-11-05 16:43:02
1
abou.aslam
abou aslam. :
kisado is typing 😁😂
2024-11-13 19:19:53
1
denho9
Dennis John 1 :
unarushia ukuta wa kisado usipige kelele 🤣🤣
2024-11-05 17:05:50
1
To see more videos from user @kago.360, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About