nimechukua muda mrefu ku research na kwa kweli hivi karibuni naslim.. moyoni najua nishaslim ni shahada itaiweka muhuri tu
2024-11-07 00:06:42
311
my plants tz. :
Jamani swala Alfajiri naipenda ina barka nyingi lakini imekuwa mtihani kwangu ya Allah nifanyie wepesi
2024-11-07 06:45:41
24
jumahussein19 :
Allamdulillah
2024-11-12 20:09:37
0
judy muthoni :
hatamimi napenda kuslim lkn kuswali ndio naona ngumu,coz nikipata mtu aniongoze wallai na slim
2024-11-06 22:24:15
188
brianlecrae :
moyoni mimi ni muslim matendo pia. ingawaje hapo kwa swalah sijajua. i listen to english and swahili mawaidha na dua
2024-11-07 03:34:45
37
Mohammed James :
at first pia mimi ilikuwa ngumu but sai Alhamdulillah sai ni 4 years being a muslim na nikimiss swala moja na feel vibaya sana...Alhamdulillah sai i can recites lot of surahs
2024-11-07 11:39:00
26
baomy4927 :
watching this kusubiri Fajr time nikaswali kwa uwanja hapa job coz hakuna room ya kuswali, Allah azidi kutuongoza wote
2024-11-07 01:48:24
40
zasha :
hamza nataka tuungane kama watu kadhaa in sha allah ramadhali wasipate shida ya kufturu tupatane hapa kwa pg ya hamza tujipange in sha allah
2024-11-09 05:23:49
5
baibra6 :
You inspired me a lot, Wallahi naswali ila nakata kata yani simalizi 5 a day
2024-11-14 19:28:46
0
A_aira :
subhanallah,Alhamdulillah,lailahailallah,Allahuakbar..... ndugu zangu katika iman mwalimu wangu aliniambia kuwa ukiona kua kuna ibada yyote inakushinda jua kwamba ibada hiyo hauifahamu vyema.... ⏬
2024-11-07 20:07:41
8
hassanwangenyi :
kaka yangu mimi ni wakusilm ila mimi nimeligia sana woooya kaka umenipa moyo sana inshallah Allah atuwezeshe wote inshallah
2024-11-06 21:25:10
22
🦋Daughter of the soil🦋 :
unaeza silimu kama ushaoleka🥺
2024-11-08 16:02:02
6
Muso cabsi cabsi :
Eeehe bro Swala muhimu and may Allah help us and give all of us strenght ya kufanya Ibadah
2024-11-06 19:13:23
46
muriginjoroge :
imekua ngumu pia kuadjust lakini Alhamdulillah I'm coping
2024-11-07 09:13:36
31
Princess ninah :
nakuuliza vile mm nsingle parent naez kuend makkah
2024-11-06 22:11:45
25
SILENT BOY¥ 1 :
Hakuna kitu kizuri kma kuwa mwislamu
2024-11-07 03:55:53
10
Mariam wangui :
mm kenye inanilemea ni hio suna sijui
2024-11-06 21:23:02
8
Luvski Limo Harley :
You really inspired me... Shukran 🙏. May Allah keep me closer to him. My prayer is, May Allah bring me closer to him In Sha Allah
2024-11-07 04:47:37
34
feigns_abdi :
I’m so happy when reading all this comments .May Allah make it easier for you .
2024-11-07 13:21:41
43
Hm :
Swala inatak discipline. Wenye hawana discipline need to work on it.
2024-11-07 03:30:05
4
Ali Hassan Mageni kawayare :
mimi hapa please 🙏 please I need your support to kuswali please 🙏 please I need
2024-11-06 23:30:09
18
rajabumkilindi86 :
nina miaka minne bado swala inanilemea😭😭😭😭😭
2024-11-07 10:13:29
3
keatel3 :
Mim pia napitia the same situation brother...Kuna time nashikilia swala kbsa lkn inafika time naskia na lemewa mbya...
2024-11-07 04:20:21
9
B52(the heart healer❣️) :
pia nilipitia changamoto nyingi baada ya ku slim ikiwa ni pamoja na kutengwa na familia yangu.Kwa Sasa nashukuru wamenielewa na tunashirikiana vzr.By the way am so proud to be muslim
2024-11-07 06:42:43
16
thebosslady183 :
masha Allah, kuna noor kwa uso wako... insha Allah Allah atuondolee uzito kwenye kutekeleza swala
2024-11-07 05:02:48
4
To see more videos from user @h.hmotivation1, please go to the Tikwm
homepage.