@suzana_viatu_kkoo: je unataka kuuza viatu rejareja na haujui utapata wapi viatu kwa bei ya jumla ya kuanzia Elfu tano wasikiana nami kwa namba 0622514296 nikupe mwongozo nakuadiwa kwa group

Frank Nganga
Frank Nganga
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 12 November 2024 11:04:42 GMT
181354
1413
134
155

Music

Download

Comments

dayouh.zubeiry
Dayouh zubeiry :
Mbona kaka ukipigiwa Cm upokei
2025-07-27 18:21:53
0
suzzet_collection
Suzzet_collection :
Hii Sorry hivi nikiwa na 100,000 naweza kuchagua viatu nitakavyo fungiwa
2025-01-28 10:51:29
0
ruck_van.wrinkle
ruck_van wrinkle :
nikiwana mtaji wa 50k napata viatu pc ngap
2025-01-30 14:28:39
0
naahnaah581
naahnaah :
Kaka kuna kiatu nakitaka nakucheki whatsap uniangalizie kama kipo
2025-04-03 19:25:40
0
p1752395
p :
mi Niko mwanza ntapataje mzigo
2025-05-03 10:15:10
0
stella.mwasongwe
Stella mwasongwe :
samahan mi nipo njombe ntapataje mzigo
2025-01-28 12:47:19
1
ashamogela
ashamogela :
nataka nianze biashara natakiwa niwe na mtaji wa shingap
2025-06-03 17:18:08
0
angelmanka4
Angelmanka :
me naomba unielekeze nataka niuze viatu vya jumla kama wew ,navipata wap
2025-01-13 13:14:40
0
iamruth1_
iamruth :
Naitaji bei ya jumla
2025-07-15 12:47:28
0
thehoneybee440
TheHoneybee🐝🍯 :
mko wapi
2025-05-02 14:23:47
1
drmoyo_
MOYO NA WATOTO :
kwa jumla shilling ngap?
2024-12-19 17:03:35
2
mwajtzgimal.com.2
[email protected] 2 :
natka kuanza biashal
2025-06-10 10:45:45
0
nessy.rojan6
Nessy Rojan :
mko wapi natak kujumua
2025-02-06 16:13:05
0
mwajumasuleimani6
mwajumasuleimani6 :
unapatikana wapi
2024-11-18 08:50:11
2
nyanziler..chi
@Zyler....chi👩‍🍳💕 :
unauza zara
2024-11-19 05:57:55
1
jacklinewilfredy
Jackline Wilfredy :
mnaptikan mkoa gani
2024-11-14 05:25:17
1
issamafftah1
Issa barne :
box ngapi
2025-06-26 11:40:02
0
frious8
frious :
sorry unauza n raba
2025-07-09 10:11:41
0
nyandyboy3
Amani Tamimu :
oya niaje naitaj izo bizaa zinifkie dukani kwangu nitumie number kaka nivifuate saw
2025-02-19 12:06:25
0
sarah.omary0
sarah omary :
kaka nikiwa na mtaji wa laki na nusu napata PC ngapi nipo morogoro
2025-03-26 15:52:11
0
user2335721505050
user2335721505050 :
mbna hampaikani
2024-11-27 18:15:23
1
chilangalali3
chichi baby 🐥🍼💐🌹 :
mm ndio nataka kuanza kufanya hii biashara sas sijajua natakiwa kuwa na mtaji kuanzia shilling ngapi naomb nijibu please
2024-11-17 15:26:43
3
pillymwita145
pilly :
mm nahtaji mzigo niko bunda mkoa wa mara napataje mzigo
2025-02-12 10:44:49
0
mgeni.rashid8
mgeni rashid :
mamb niko zanzibar nataka viyatu nitapata vip
2025-01-30 14:41:38
0
user5061607886296
Princess neymaah :
nikiwa na laki na 50 napat pc ngp kaka ake
2025-05-04 18:25:46
0
To see more videos from user @suzana_viatu_kkoo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About