@mwalimuesther57: #rhumba #zilizopendwasongs #zilizopendwa_60s #zilizopendwa🎵🎼🎺🎸🥁💃☺️😊 #swahilitiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #ugandatiktok🇺🇬 #kenyantiktok🇰🇪 #mwalimuesther #marooncommandos uvivu ni adui mkubwa kwa ujenzi wa taifa, kwani ndicho kiini hada kisababishacho njaa. Ewe ndugu yangu we, amka kumekucha, kamata jembe na panga, twende shamba. Hata wewe mwanangu, amka kumekucha, kwani hizi ndizo saa za kwenda shule. Hata wewe karani amka kumekucha, kwani hizi ndizo saa za kwenda kazi.
Learn Swahili with Esther
Region: KE
Wednesday 13 November 2024 01:34:57 GMT
Music
Download
Comments
Bett Allocious :
this song used to wake me up in the early 2002 at radio citizen at 5, before waweru mburu at 6am
2024-11-13 05:49:19
41
AL-ƁŠĤÏŘ :
sahizi corruption ndio Adui mkubwa wa taifa
2024-11-13 03:18:17
35
IMANI MATHIAS 🇨🇬🇨🇩🇷🇼 :
ninataka kujua swahili bora sasa ninakaa Congo Brazzaville 🇨🇬 hapa sina mtu anasema swahili 😁😁
2024-11-18 10:11:06
1
Wency Wangila :
Those days when KBC will start the day very early morning with song, it's raining and you have to up, walk 7 km to school. I appreciate the song
2024-11-23 03:28:33
5
Geofrey atsanga :
i remember 2001 early in the morning 5 when i was still young and very starbone🤣🤣
2024-11-15 06:54:47
5
user9332533409931 :
name of the song and a singer please
2024-11-13 07:32:59
0
mwakwijangala Joshua :
wale wanangu wa jkt 834 😁😁😁. sema ilikua ina keraaaa🤣🤣
2024-12-30 11:01:24
1
jonas Shabani98 :
mmmh huu wimbo ulikua unapga kipnd kile mda wakwenda shule
2024-11-13 06:17:06
3
C.E.O wa Watanzania. :
🤣🤣🤣 Hii nyimbo sitahisaahu wale wote wa Nyakahura secondary school gonga like
2024-12-08 13:31:39
1
shatoo kuggy :
this song remainde me of my grandma who she loves to listen to radio citizen after news ya asubuhi ♥️♥️♥️♥️♥️♥️
2024-11-15 05:31:24
0
Drive Ready Automotive :
name of the song
2024-11-15 06:52:26
1
Maurice Swat🇰🇪🇰🇪🇰🇪 :
Hard work pays🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Never ever depend on a fellow being.
2024-12-07 09:54:30
0
Fredy chacha mkome :
kwan hao ni wavivu au wamefanya kazi wamechoka
2024-11-13 09:37:39
0
Michael Mbiti :
By the time they are singing my mama is preparing tea for me and my brothers and sisters breakfast we leave for our day school. Zilipendwa🥰🇰🇪
2024-11-18 17:48:01
2
Ibrah_jr10 :
jina la nyimbo please
2024-11-13 18:56:17
1
samsewe :
them days.
2024-11-13 19:35:45
0
عبدالصني 62 :
kina ss izo enzi good days a gone forever
2024-12-12 18:31:30
0
user2969193468119 :
tuliamchwa na huu wimbo enzi hio.
2024-11-21 15:36:15
2
Silent Knight 😶 :
the new generation can not know what this meant
2024-11-13 11:19:19
2
ernest De wint :
kweli tume zeeka jamani
2025-02-02 16:04:12
0
Abdul khalifa Kenyatta🇬🇧🇰🇪 :
name of the song
2024-11-14 15:36:42
0
Ben Mudoga :
mapema ndio best umerauka funga umwa kali
2025-05-19 16:17:56
0
dr.bonteh :
true message never fades😁sasa umekuwa yule uncle/ auntie 😅😂😃
2025-02-01 20:04:41
3
mohh :
akuna song ilikua inaboo kaa hii nasikia my mum amkaaaa 😂😂
2024-11-20 09:30:16
0
To see more videos from user @mwalimuesther57, please go to the Tikwm
homepage.