@mwala_comed: INATOSHA | joji marato baba kwanzia nipo darasa la pili unatangaza t had leo baba inatoshaaa😂🤣🤣💔🙌🙌 #badilika #inatosha #funny #fypシ゚ #tiktoknigeria🇳🇬 #tiktokkenya🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokswahili #comedyvideo

mwala_comed
mwala_comed
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 15 November 2024 15:39:17 GMT
942464
56927
2526
976

Music

Download

Comments

wamidadie
wamidadie :
wanaomkubali joji marato weka like hapa 😁😁....................
2024-11-15 17:31:26
674
josephmshe
AZIZ :
Dunia imejibebea vyake
2025-01-15 17:30:55
1
user1198749210397
ilham🦋 :
hela ya maandaz n juice unatoaga wap kwan😂😂😂
2025-01-11 22:09:07
1
fredy.chacha.mkom
Fredy chacha mkome :
kuna Godfrey monyo Sam mahera maulid kitenge salim kikeke na wengine watajeni toka nazaliwa nawasikia mpaka sasa hiv mwanangu yupo darasa la 3
2024-11-17 16:57:49
6
momiesimageni
momiesimageni :
bado Godfrey monyo🤣🤣🤣🤣
2024-11-15 17:26:20
138
user806517547985
miss mihigo :
usimsahau na REBECKA MRESSI🤣🤣🤣
2025-01-12 15:52:01
1
johnmovies_
JOHN MOVIES :
"NIKIRIPOTI KUTOKEA KWENYE MGODI WA WACHIMBAJI WADOGO hapa Mkoani Maraaaaaaaa Mimi ni Jooooooooji Maratoooooo ITViiiiiiiiiiiiiiiiiii😂😂😂...Ingia kwenye account yangu ujikimbushe taarifa zake kidogo.
2024-11-16 18:40:34
4
zaitunihamisi92
Bint hamis😍 :
YANI ILIKUWA IKIFIKA ZAMU YA KE YA KURIPOTI MM NILIKUWA NAMSAIDIA😂😂
2024-11-20 14:14:59
22
naomimsamba421
naomimsamba421 :
Umemuona joji tu faruku karim tangu nikiwa binti namskia saivi ni na mtoto wa miaka 24 bado anaripot
2024-11-19 18:12:01
12
realdaimoncharles
Malekano93 :
wewe unamjua faruku karim
2024-11-15 20:14:49
163
nsamafaida
Nasbul 𝐰𝐚 𝐒𝐢𝐦𝐛𝐚 ⚽🦁 :
😅😅😅joji marato 😂😂
2024-11-15 16:54:44
457
lonesom_tz
lonesom_tz :
kunakoelekea mtaanza kuchukua KAZI za Israel Kuwaambia watu wameishi sana Inatoshaa😳
2025-02-02 20:38:52
2
isangu3
God’s last born ☃️👩‍🦰 :
Kuna huyu Jackline slemu toka akiwa binti mpaka anaelekea uzee
2024-11-15 19:08:01
87
mamunny1
Mamiloo🖤 :
ajengewe sana lake ndo aache😂
2024-11-21 09:27:21
5
bhoke360
bhoke🇹🇿 :
mzee wa je huu ni ungwana wambura mtani ndo kaachia juzi😅
2024-11-16 20:49:19
11
addybir2
Addyibr3🔫 :
bora huyo kuna huyo Godfrey monyo ITV uwiii😂😂😂
2024-11-19 20:32:11
43
manzi89223
@manzi..😊 :
Kwanzia nipo la pili😂😂 saiv naolewa
2024-11-15 17:47:06
39
masinde_robert_
Mr. Cool😎 :
😅😂😂😂nimekua nasikia nikiripoti kutoka mara mm ni George Marato
2024-11-15 16:15:41
18
mikelson_86
mikelson_fit :
Kuna William Mngazija wa Tanga pia😃😃
2024-11-17 07:09:04
14
bbywangu30
bbywangu30 :
Toka nipo la 4 hasi leo 😂😂😂
2025-01-17 21:09:38
1
pyanka09
babymama_tz :
😂😂😂😂😂 hakiamungu nilivyokua na mimba ya mwanangu nilikua lazima nimsikilize joji marato yaani taarifa ya habari asipokua na habari joji nitaliaaa hadi baba mtoto wangu ilibidi arikodi saut
2024-11-21 06:52:26
4
sarahcolin31
Sarah Colin31 :
unamjua mabele makubi wewe 🤣🤣
2024-11-16 21:56:22
33
pillchou
pillchou🔑🦋 :
kuna yule sam mahela....hiv kaenda wap...au ni mimi ndiyo nimepotelea TikTok
2024-11-15 19:25:52
23
alfredlyaro41
Cracky416 :
ifike mahala wasoma comments tuanze kulipwa
2025-01-20 10:39:30
2
bizznyanga
nyanga da bizz :
Marato kama ronaldo anaeka recod zake 😂
2024-11-17 09:52:06
8
To see more videos from user @mwala_comed, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About