wewe unae soma comment hiii nakuombea ukauvuke mwaka salama na mungu aka kuepushe na majaribu yote ya dunia
2024-11-17 09:26:53
1720
First lady :
kama mnapata kajihewa endeleeni kusali mnaweza kutoka my dear
mungu yupo
2024-11-17 03:21:47
442
Reysam melody :
mungu awajalie
2024-11-19 19:33:51
0
lucy john :
pole my mwenyez mungu àwalinde
2024-11-19 18:09:14
0
HAMIDU OMARY :
sauti hii imenifanya alfajili hii nikuombe molla wetu mlezi hakuna jambo lilogumu mbele Yako nakuomba geuza sauti hii iwe kama maombi aliokuomba nabii issa bin maliam ukamuokoa wahurumie waja wako😭
2024-11-17 06:36:24
230
user6180053771530 :
KENYA TUNAWAPA POLE WATANZANIA KWA AJALI POLENI SANAAAAAAAA
2024-11-17 06:37:46
316
nuru moving shop 💖 :
mimi na hiz pumu za ukubwani nahis ningeshakufa
2024-11-17 04:41:50
86
Lujani Numa :
mm nasemaga Tanzania siasa nyingi mno na ujuaji, kama kweli watu wamefukiwa saa mbili asubuh wanaendelea kulalamika vifaa vya uokoaji hamna, viongoz wapo wapo t
2024-11-17 02:47:52
135
❤️G🦋Chindo💦❤️🔥 :
alhamdulilah kapona🙏
2024-11-18 20:28:24
9
Miss T😋⚡️❤️🔥 :
Hivi nyie mnaotumia emoj hamjui matumiz ya emoji n kucheka kama fala
2024-11-17 07:04:33
59
Rigt&Maiko :
Shindwe shetani kwa jina la yesu 😫😫
2024-11-17 05:37:46
17
momah🌼 :
We Mungu wa mbinguni tunakataa roho za mauti kwa jina la yesu roho za mauti hazina mamlaka Kwa jina la yesu wakatoke wazma Ili ikapate kuwa ushuhuda kuwa wewe ni yule yule Jana Leo kesho na milele🙄🙏
2024-11-18 09:48:27
23
𝐓𝐋々KHADIJA_HATIMY👸❤️ :
This voice ukiskiliza u will just cry no matter what inahuzunisha na poleni mungu awafanyie wepesi na walokua hai Watoke salama Ya Rabb🥹🥹🥹🤲🤲🤲🤲
2024-11-17 15:08:24
42
theblackjackal :
jaman tofautishen kati ya emoji ya kucheka 😂 na kulia 😭
2024-11-17 13:19:23
5
generous :
was she rescued?🥺
2024-11-17 20:53:44
18
aishababuhayata :
nimelia jamani anawaza mtoto wake kama mimi uwiii roho yangu imeuma jamani
2024-11-17 06:12:56
30
STEPHEN KASOLO :
Poleni ndugu zangu watanzania 😭😭😭💔💔💔
2024-11-18 07:18:47
24
ramadhan :
pole san rahma juma mung atawasaidia inshaalla😭😭
2024-11-17 23:39:35
56
erro :
Ila serikali ya Tanzania 😏
2024-11-18 06:29:39
6
angelalusweponalomba :
this is really painful
2024-11-17 07:19:51
48
justinahsammy489 :
Daaah is so sad 😞
2024-11-17 09:45:46
6
apples13 :
Yani Tanzania mama Samia unashidwa kuokoa Hawa watu
2024-11-17 07:28:05
25
Nasra Msangi :
daaah mpaka nimelia yamani 😭😭😭 ee mungu waokoe ndugu zetu hawa
2024-11-17 04:09:41
60
10missedcalls :
asubuhi mpaka saa tano usiku 🥺🥺🥺
2024-11-17 06:02:09
14
maggiezbrillianma :
Ooh lord of chances,, give them another life. In Jesus name. 🙏🙏
2024-11-17 08:57:42
36
To see more videos from user @mulastar1, please go to the Tikwm
homepage.