@gasperandemma: Ngoja na mimi nitafute chipa yangu nikiwa mtoto lakini, lakiki sioni kama kuna haja tena😀#fanana #mamanamtoto #kubali #tiktokdaressalaam #mwanzatiktok #nairobitiktokers #fyp
GASPERandEMMA
Region: FI
Monday 18 November 2024 15:46:22 GMT
Music
Download
Comments
Ability :
bro kuna ukweli wowote ukimuoa mzungu unapewa ndo ya mkataba kwamba baada ya miaka 5 lamda tutafanya uchaguzi tuendelee au game is over ...
2024-12-11 22:16:32
0
MENTALIDADMILLONARIA :
Uyo mzungu wa kiume kwny pcha nan wakat ndugu zake wanamgogoro
2024-11-19 04:03:22
0
Double Trouble :
kaka me nataka kuja huko nafanyaje kaka
2025-01-22 15:29:04
0
🇹🇿 :
@Fx:mambo VP kaka nmekuwa nafatia post zako but kuna dada nakufananisha nae cjui kama unamjua @emilia_jami
2024-11-19 09:38:46
0
A Oman :
mwambie nimempenda wifi yetu 🥰🥰🥰🥰
2024-11-18 18:29:08
0
asu :
mtt kafanana na mama kweli
2024-11-18 15:53:05
13
user2446555944826gee*de Jaxy :
he resembled her mom
2024-11-23 18:03:22
0
Angel :
mbn mkeo ana jina la kiume Emma
2024-11-18 16:37:44
6
kasampaidah :
kaka zako ziko wapi ama hukupiga😂😂😂
2024-11-20 07:59:38
0
user7451324243630 :
kwani mkeo bado hajui kiswahili
2024-11-19 21:43:44
0
matugha :
sura ya mama hiyo
2024-11-18 18:51:57
1
Royalcleana&movers :
Emma
2024-11-18 16:42:09
2
user6777632968530 :
kafanana na mamake
2024-11-18 16:09:30
2
sportsbag 🥰 tours :
mtt kafanana wew ila weupe tu ndo unawachanganya
2024-11-22 15:48:00
0
blessed :
nawapenda nyie watu
2024-11-18 17:26:36
1
Dice :
100%
2024-11-18 16:04:33
4
#DMS :
uyu kafanana na Muumba wak sem mmehustle ur the inspiration kwa watu on da issue of racism
2024-12-10 21:55:36
0
zamzam🇹🇿 :
ivi unauhakika email bdo mama wa mateo??
2024-11-18 18:28:15
0
user7776808465156 :
emma alikua kafunga macho wakati ulee,ila angekua anakuangalia mateo angekua copy naww
2024-11-19 13:58:35
0
james007355 :
Cute.🥰🥰
2024-11-20 10:46:01
0
Lizzy beth :
anafanani san na mam
2024-11-18 19:40:59
1
James :
ahahahha....umepigwa bna
2024-11-18 17:23:04
1
Feza :
Kafanana na mama 🥰🥰
2024-11-18 20:16:20
1
🇹🇿 :
mambo VP kaka nmekuwa nafatia post zako but kuna dada nakufananisha nae cjui kama unamjua@emilia_jamii
2024-11-19 09:37:26
0
Manase Kamnde :
kachukua akili ya baba inatosha
2024-12-26 04:08:55
0
To see more videos from user @gasperandemma, please go to the Tikwm
homepage.