@sianrazia1: kutoka ndani ya sink inaka nika inachemuka unaenda kwa wenyewe unakaribishwa ivi it's not fun😁💔

sian
sian
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 24 November 2024 19:24:52 GMT
180873
2203
495
390

Music

Download

Comments

jorgeskim0205
Jorge's kim🇰🇪 :
Akili kidogo ni muhimu. Tafuteni main ile supply maji kwa ploti mufunge alafu fundi afanye diagnosis. Mburi icii... nkt..
2024-11-25 08:34:58
371
kelvohmaina
Kelvin Maina :
Watu hawaelewi hiii maji haitoki kwa tap. Inatoka kwa sink. So ukifunga main tap bado haisaidii
2024-11-26 23:34:43
0
shy.boy250
shy boy 🤓 :
unblock from ground floor ama Kwa balcony
2024-12-19 08:57:53
0
vickiechege
vickiechege_ :
Wangapi waliona ile ya choo🤣🤣🤣🤣afadhali hii ni maji safi hiyo ingine wololo😁😁
2024-12-01 21:05:30
0
mbuguahamm
mbuguahamm✅ :
zima kwa meter.. ngombe ni ngombe tu
2024-11-25 14:31:50
17
fathela.004
mister__man._004 :
si ufunge main tap ya inje 😳😳😳. ile ikona mita
2024-11-26 11:29:41
0
kanicy58
Kanicy :
Instead of looking for gate valve mfunge… direct kwa TikTok
2024-11-25 16:29:50
44
kamwana.isoheight
kamwana isoheight ( njoroge) :
akili kidogo chukua finiko ya salad oil ingisha kwa hio pipe ya white au chukua balloon valisha kwa waste pipe na urudishe bottle trap
2024-11-27 22:45:30
0
user79206045741282
the Oscar award :
siku izi utakufa watu wakikuweka tik tok bure just turn it from supply
2024-12-09 13:57:23
0
benta.radhia
Arabella :
The real meaning of back to the sender
2024-11-25 08:02:13
7
denohinnocent
d. innocent :
enda tafuta plug ya waste pipe side ya nje ufungue kwanza maji iache kkuja kwa sink .na sasa uoleke uache kufuga hiyo chiwawa ya mwanaume
2024-12-20 13:33:13
0
jocker_625
Jocker :
nyumba iko ground floor?
2024-11-25 07:44:24
0
thebudgetwist
thebudgetwist :
ata caretaker ameenda na maji,kufunga main gate valve mnangoja firimbi pia,chura nyinyi endeleni kuogelea
2024-11-27 20:11:43
0
1.pretty.princess
1 pretty princess :
funga main meter then plumber aitwe.
2024-11-30 18:03:51
0
jymohndesh7
jymohndesh :
nany ananyesha hio ploti
2024-11-24 20:58:05
0
kuntamreggea035
🤘Kunta Mreggea✌️ :
pia nyinyi ni ngombe wenye mnacoment maji haitoki kwa mfereji inatoka kwa sink
2024-11-25 16:16:50
5
richgang231
FOOTSOJAA☻☻ :
Nani ashai watch movie inaitwa the NUN😂😂😂
2024-11-25 13:18:20
13
fidel.mbithi
mbithifidel :
hiyo nyumba haina mwanaume kwani
2024-11-25 11:47:34
2
firstborndiva
🌸First Born Diva🌸 :
poleni
2024-11-24 21:35:53
0
kimkym_254
kimkym :
Mutumia ni mburi na ena mburi ingi ndurume iraruruma hapo kando😂😂😂si mtafute pipe yenye inaleta maji mfunge😂😂😂
2024-11-25 18:45:05
0
mamakeblessing21
katoi karembo :
very easy unaizimia kwa main
2024-11-25 05:01:06
1
keche784
Cheke :
badala ya kuzima power mnasimama ndani ya maji. ni kujipenda hamjipendi ama?
2024-11-25 01:23:28
22
flozahnight
mam jay :
plumber alilala kazini
2024-11-25 00:00:53
0
mukeli8686
mukeli :
Akili mzuri
2024-12-08 15:43:43
0
jahberrkiddogoh
Nyang'iya :
This has happened to me twice,Just call a plumber.It's because of clogged pipes/shared drain lines
2024-11-25 04:20:14
0
To see more videos from user @sianrazia1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About