@kakajtv: Wasichana Wanafaa Kujichunga Saana ama watakufa Vibaya Sana . Usicheze na Pesa ya Mwanaume #fypシ゚viral🖤tiktok #fypp #goviral #nairobi #dem #ladies #women #womenownedbusiness #kenyantiktok #kenyantiktok #viral_video #trendingvideo @DEM WA FACEBOOK @Stevo Simple Boy @Riba News @funny boy

kakajtv
kakajtv
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 26 November 2024 11:07:15 GMT
790977
52219
4370
7138

Music

Download

Comments

user2729829275080
@Ronnie Sparta1 :
fungua kampuni tutakutembelea jioni 😂😂😂 tukilipwa
2025-07-29 17:48:42
0
lilianachibela4
lilianachibela4 :
Hapo kwa kuvumilia kama mama zetu hiyo hapana tumekataa🤣🤣🤣🤣
2024-11-26 14:48:54
155
mysteriousdollyke
mysteriousdollyke :
Waschana endeleeni hivyo hivyo, ni mzungu ama tajiri gani ameaua waschana??? Ni hawa losers ndio wanaua, usihurumie mwanaume . Date for money!!!mwanaume kama hujiwezi kufa!!
2024-11-26 16:19:31
215
sendmemoneypl
kisses 💋 :
mtafute pesa mjue women date providers
2024-11-26 15:23:56
378
touristmorganke
Touristmorgan KE :
ndio mjue madem hawako serious someni comments zao😂😂😂
2024-11-26 15:19:21
289
flonamwakodi1
Novela👩‍⚕️💉 🇩🇪🇩🇪 :
sasa baby boy wa miaka 70 ndo mnaita wasungu wazeee😂😂
2024-11-26 15:00:08
325
tiktalkmedia
tiktalkmedia :
Makende ndio hiyo imeonekana, mlisema nyako anayataja ovyo ovyo🤣. Sasa sote tuvumilie tu hiyo jina.
2024-11-28 19:54:10
1
minha_arlie
🦋 Shila 🌈🇰🇪 :
shida ni mnataka kupewa Bure na Kuna wenye wanatupea pesa..wacha tu watuue na hizo pesa😭
2024-11-27 10:04:18
87
steffanie402
steffanie 👌👌 :
Kazi yenu ni kuzalisha wasichana wa watu na mnawaachia watoto walee peke yao😒😒😒wacheni wasichana wafanye vile wanataka😒😒😒😒
2024-11-27 09:03:57
35
kephexmuthii
Ghost👣 :
🤣🤣🤣 huyu Mzee hasira ako nayo na madem nikama aligongewa ndio masaaa anafunguka ! lkni ametuongelelea joh 😂🫴
2024-11-26 20:11:14
10
rutosamoeiwilliam
DR. WIllIAM RUTO 💛✅️ :
Si mlale tu na wao badala ya kuwaua jamani
2024-11-27 03:17:56
39
tishwinny2
Winny 💛 :
sitasoma buree nioleke na MTU Hana pesa boss 😅😅😅
2024-11-27 11:05:23
52
zayranoah
COCOBae💞🥶💕 :
hio ni mbaya umesema hio location ya wazungu NI gani 😌😌😌😌
2024-11-26 14:17:04
62
bella36662
Bellah🇰🇪 :
Hyo ni tabia mbaya sana but Wako wapi exactly 😂😂
2024-11-26 14:45:13
334
zitakime
zita :
gari za kilifi zinachukuliwa wapi 😭😂😂😂😂😂
2024-11-26 17:43:47
90
araptarkok
arap tarkok :
kwanza wasomali na umalaya
2024-11-26 13:45:41
51
milywabusia
mily wa busia 🇰🇪🇬🇧 :
bitter truth yenye hawapendi kusikia wanataka Vitu ZA araka
2024-11-26 13:20:47
20
sarasandy559
@Lexy :
Ati kuvumilia kama mama zao😏we will saw our mothers cry so many times, hio makende sisi pia tutangoa makende zenu
2024-11-26 11:29:41
33
the_farasi
Puree :
Watu waishi vile wanataka
2024-11-26 14:22:49
52
shila.shila02
Shila Shila :
fenye napenda pesa aki
2024-11-26 14:49:57
5
tahelia123
It's Silantoi🫶❤️🫂 :
was makende necessary😂😂😂😂
2024-11-29 08:52:45
0
mbaka224
slivester :
ukweli bro
2024-12-16 04:32:31
1
m0desterannota
Modester Annota :
😂😂😂😅😅Team waiguru amkeni😂😂😂Be proud of looking for your on money🙏May God bless the work of your hands💯
2024-11-29 10:21:25
0
To see more videos from user @kakajtv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About