That glass was like gold back then hiyo ukivunja tafuta kwenye utalala 😂😂
2024-11-29 12:08:08
346
stanytyrone :
na mafuta yalikuwa yanawekwa kwenye chupa ya soda kabisa😂
2025-02-16 08:11:20
1
One grandson :
Ati grandkids wakati ata dem sina😅😅😅mwache kukimbiza watu kwa soko
2024-11-28 18:29:12
265
Ayoubkhan :
hilo yai lilikuwa linasafishwa jioni linaanikwa nje kwenye kijua jichanganye uligonge
2024-11-28 23:07:09
62
😍 Deedee 👑 :
hii ni nini😳😳
2024-11-30 07:06:36
7
Kelvine Omariba :
alafu kuna family walikua wanaeka full tank
2024-11-29 11:23:23
96
Dissie@10 :
I miss this days, growing up in the 90s, no phones, no social media, no electricity,just KBC radio and chimneys
2024-11-29 16:41:47
107
user79826149231153 :
nili mwangilia hii glass maji ikiwa moto ika crack wee ile vita nili wekelewa sijawai sahau
2025-03-21 15:05:46
1
Stonniecruz :
hii glass ni babangu alikuwa anawipe then nawasha taa napeleka sitingroom tukafanye homework taa ya jikoni ilikuwa the kasmall one if you know you know it
2024-11-30 12:33:05
25
Jeshi ya yesu siku zote :
kupanguza glass na gazeti we😂😂😂😂 umenikumbusha mbali😂😂😂
2024-11-28 20:47:26
56
BupidStastard :
hii hadi gen z tuliipata, muache kutupea pressure
2024-11-29 21:14:08
91
Izaw Hawkins :
hizi glass ndio nilivunja mingi kuliko za vikombe
2024-11-28 17:57:07
197
KIMUTAI :
good old days we are getting old
2024-11-28 17:48:29
53
@josse1on⚽ :
kidogo kidogo unackia mbu!mbu!mbu! kanazima
2024-11-29 12:00:47
13
Yvonne chero'h :
alafu kulikua na pressure lamp😁iyo nayo ilkua ya matajiri🤣🤣
2025-02-23 14:15:01
7
_ommy38 :
Kwa Kiswahili 🇹🇿🇹🇿 hio inaitwa Chemli Kuna nyingine pia ya utambi inaitwa karabai
2024-11-29 18:52:23
17
kendikiremi :
Growing up in the 90s was awesome, phone za Nokia, no internet, tv inafungwa midnight, chrisi tuchinjiwe Kondoo na tununuliwe nguo za Christmas, Xmas tree was exciting, we had dinner pamoja as family
2025-04-01 05:23:39
4
chairman :
kutumwa mafuta taa ya 20 unanua ya 5😂
2024-11-29 04:22:20
53
Edina Kenani :
taa za chemli jamani mmenikumbusha enzi za uhai wangu 😂😂😂
2024-11-30 10:33:18
9
Ndung'u♏ :
hio ni jiko ya kupika ama?
2024-11-29 18:46:50
5
I am_kaka🇰🇪 :
maze Kuna wire mesh flani ilikua inavalishwa hio glass ikicrack😂😂
2024-11-28 19:33:45
54
user7302958087913 :
nilikua natumia moshi ya hapo juu ya black napaka kama wanja nikienda date🤣🤣🤣
2024-11-29 17:44:09
21
Mama Triple E :
if you were given the responsibility of cleaning that glass,you must be good in relationships
2024-11-29 05:56:16
22
Mummy🥰♥️ :
rule ya hio glass haioshwi na maji🤣🤣
2025-01-21 16:00:35
1
To see more videos from user @jkuatcomrade, please go to the Tikwm
homepage.