@faridabeautyacademy: Mpendwa Ndg Jokate Urban Mwegelo @jokatemwegelo • Ni faraja kubwa sana kuona viongozi wetu chini ya serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Mheshimiwa Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan mnajali na kuthamini na kussuport Jitihada zetu vijana katika Tasnia hii ya Urembo ( Cosmetology) . FBA @farida_beauty_academy Tunashukuru sana na Tunaahidi kupeleka TANZANIA BEAUTY INDUSTRY TO THE LEVEL ( International) . FBA Tunawapongeza wahitimu wote na Mkawe chachu ya kubadili na kuleta matokeo Chanja katika tasnia ya Urembo .FBA tunakukaribisha sana Ndg @jokatemwegelo katika Chuo Chetu na Ahsante kwa kukubali kuwa Mgeni Rasmi katika Mahafali ya Pili ya FARIDA BEAUTY ACADEMY 2024 wewe ni Kiongozi wa Mfano Tunakupongeza sana🙏🙏

FARIDA BEAUTY ACADEMY
FARIDA BEAUTY ACADEMY
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 28 November 2024 13:09:01 GMT
232686
8082
294
85

Music

Download

Comments

cosco702
cosco🦋 :
Kwahiyo sikuhiz had vyuo vya urembo vinavaa joho???😂😂😂😂😆🙌
2024-11-28 17:52:38
23
samirah.kiango
hadithi tamtam :
kheeeee kumbe seriously hivi
2024-11-28 14:14:43
6
user1342428261907
kareem nails :
@kareem nails: @kareem nails: Natafute msusi anaejua kusuka nywelea aina zotee kama cornwos stichi na yeboyebo anitafute kwa namba 0656777235
2025-07-09 16:32:14
0
habby0004
habby0004🔥 :
mungu akubaliki kwa kaz ya mikono yako
2024-11-28 21:07:55
2
user8100538706687
user8100538706687 :
:libuniwe vazi jingine tu bhana badala ya joho! Kwa vyuo vikuu ishakuwa jau sasaa😏😏
2024-11-29 12:33:46
3
loycepierre
loyce@08 :
nasubria nitimize wajibu wangu mwezi wa saba nikajiunge tu kwa Farida
2024-12-01 18:33:23
2
saghire_
Saghire_ :
mnatoa taaluma zipi nazipi??? za urembo tu au nazingine...
2024-11-28 20:40:06
2
evelynembuyambuya
evelynembuyambuya :
Kama nmeona kitu kwa muheshimiwa
2024-11-28 14:47:36
3
marychowo
chowo :
hostel zipo kwa wanaotoka mikoani? pia ada ni kiasi gani? napenda sana chuo cha farida kinavutia kwa kazi yake
2025-05-04 07:00:54
1
salome0179
salome :
hongera sana sana Farida kazi mikononi chap acha tukae na vyeti vyetu tulivyosomea uinginia tukusubili ajira miaka na miaka .
2024-11-29 04:41:51
5
user3392594478558
Witie :
Beauty Jokate 💕💕💕
2024-11-28 18:53:43
2
jeyh123
lavie :
mim kama farida nawapenda sanaa
2024-11-29 17:06:01
1
aleysiaslexius
Sia Urio :
ongera sana madam wetu 🥰umeweza umeweza tenaaa
2024-11-28 14:47:03
1
drjustine1
Dr Justine :
Vyuo kama hivi ndio viongezeke 💯
2024-11-30 08:19:28
13
madamlucy4
Lucia Felisiani :
kazi njema ubalikiwe vijana wapate ujuzi wazo zuri
2024-11-29 14:34:49
2
veronicamartin329
veronicamartin329 :
nipo Arusha mwanangu atakuja hapo January panapo majaaliwa
2024-11-29 22:12:59
3
boyfriend22
Boyfriend :
heshima ya joho iwepo tafadhali
2024-11-29 11:30:09
5
user5956614342952
August :
Good job Farida. Keep it up darling. 🥰
2024-11-29 10:52:41
5
user7631749553473
Apsa laban :
kuna kitu kwa muh akipo saw😂
2024-11-29 07:26:32
1
user6742281577566
sabrina1997 :
nataman kusomea urembo jaman
2024-11-29 07:18:57
1
feitoto69
feitoto69 :
Kipo wap na kam mtu anataka kujifunza
2024-11-28 13:58:44
1
user6682162586705
mama hancy😘😘 :
iyo chuo ipo maeneo gani i wish nikachukue maujuz😎
2024-11-29 13:12:16
1
juliusjn4
juliusjn803 :
ada iko vip maana napenda sana kujifunzà urémbó
2024-11-30 09:46:41
1
alicious1761
bintu-hamisi :
kwani wa2 mnaanziaga wapi? nmependa jaman
2024-11-28 18:49:53
1
fadhila0970
fadhila :
dada mpambanaji sana mungu akutumze kwaajili yawengine
2024-11-29 09:10:21
2
To see more videos from user @faridabeautyacademy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About