@undefinedmoments: It's okay to not feel okay. You can always talk to someone.

UndefiNed Moments💫
UndefiNed Moments💫
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 29 November 2024 06:16:07 GMT
251808
12093
1395
664

Music

Download

Comments

hercorazon01
her corazon 💗💗💗 :
mimi nani anataka tupige nduru pamoja naye na tulie siku mzima, tukimaliza tuhug na tusema it's done😳😳😂🥰🥰nani✋️✋️
2024-11-29 08:59:19
257
maggy_naila
🌸Maggie🦋N🌸 :
mimi hapa...dec imefika naenda wapi 😭💔💔 no parents
2024-11-29 10:24:13
96
zippymueni677
Zippy Mueni :
ni mimi hapa💔
2024-12-24 23:11:34
2
user3679206198206
linahfaith :
Am here struggling with family issues nd am the first born.... It's hard though 😭😭😭
2024-11-29 12:14:41
107
evaahmwangi
evaahmwangi :
1st borns kujeni aki I'm loosing it 😭😭😭😭😭
2024-11-29 15:08:04
171
sheriyl9
sly :
thats me right now ..financial issues infertility i feel am going crazy
2024-11-29 14:25:41
43
jessysherleen3
JESSY🇰🇪 :
Siku zangu zinaisha polepole mahali nimefika niko mwisho lakini kitu najua siwezi Acha mtoto wangu akiteseka tunaenda wote bora mnizike karibu na my grandad ntakua happy
2024-11-29 10:45:00
14
everakinyi5
🥀Akinyi ⚘🌺 :
mimi hapa,natamani to nilie mpaka machozi iishe kwa macho😌
2024-11-29 07:38:28
40
lizzynicky2
Elizabeth Odhiambo :
I'm here
2024-12-25 18:09:26
0
waithera971
Ms_Waithera🌟❤️🇰🇪 :
mimi hapa... Christmas ndo hii and we can't celebrate juu cancer imeamua kufanya ile kitu and my dad can't even move 😭ata hiyo pesa ya ku-celebrate yote inaenda kwa matibabu 😭 woi
2024-11-29 16:47:09
13
kambadarling
@nthambizyan :
mimi huyu hapa nimelia hadi siskii kulia tena
2024-11-29 09:49:58
7
joan_joanah
Jojo :
First born daughters in the house, how is the journey so far? I'm loosing it 😭
2024-11-30 06:46:11
6
barasa_shal
Shaleen🤩🦋 :
kila mtu amesota ivi aama mimi ndio nmechaguliwa niwe funzo😭
2024-11-29 12:59:26
5
user36955190509538
ule mbaya :
mimi apa nimekua na mume 4 five years amepata ajali nikamuosha pupu 4 five months sai amepona amenimbia amepona ana aja na mimi ati ameowa 4sure
2024-11-29 17:27:56
5
reyrahy
prettyG :
nani ako nakuru tumeet tupige nduru pamoja aki
2024-11-29 15:08:56
4
254_73
user3008418417088 :
mimi,aki natamani tu nifunge macho milele
2024-11-29 09:34:05
10
user4478528101568
Rolyne Njeri :
mimi nani ako murang'a tukakunywe pombe🤣🤣
2024-11-29 10:10:15
3
1karenwithak
Karen Alumali :
hujui vile nimengoja 31st nipige nduru moja safi na nipewe certificate yangu ya uvumilivu. coz wueeh 💔 this year has shown me dust.
2024-11-29 12:09:57
9
gladyschibaemeriangael
💙G💚l💝a💞d💖i💛e :
aqh c mtu mmoja ajitoe akuwe siz yangu ntampeda wallai😭
2024-12-01 15:02:46
2
hapylorisa
Lorisa🌻🥂 :
infact nisiguzwe 31... niachwe nilie initoke😅😅😅
2024-11-29 14:22:29
2
okaka_jnr
Andisi ❤️❤️ :
Mimi apa, walking out of my marriage of 14yrs with 4 kids,imeshindikana heri ata kamiti🙆😭😭
2024-11-29 21:50:14
4
56linnie
linnie :
someone should call me tulie pamoja piriis
2024-11-29 10:00:55
3
trinamutheu
trinamutheu🥰 :
natamani nilale nisiamke haki💔💔🥺🥺
2024-11-29 14:25:28
6
e.gb11
E gb :
I'm going through a lot 😔😔😭
2024-11-29 14:48:17
3
user73369983516832
Bett :
I ride a bike....and at times life is just tough😢. Mimi hufika kwa highway namake sure speedometer iko 100+ alafu napiga nduru ingine ndani ya helmet by the time nastop niko sawa😩
2024-11-29 15:39:53
9
To see more videos from user @undefinedmoments, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About