@swahilimedics: Hali hii kitaalam inaitwa DOWNSYNDROME/MONGOLISM hii ni hali ya kiafya inayotokana na ongezeko la kromosomu ya 21, ambapo mtu ana kromosomu tatu badala ya mbili. Hali hii huweza kusababisha changamoto za kiakili na za kimwili, kama vile ÷ 📌Ugumu katika kujifunza, 📌Matatizo ya moyo, 📌Muonekano maalum wa uso. Watu wenye Down syndrome wanaweza kuwa na uwezo tofauti katika kujifunza na kujiweza, na kwa msaada na elimu sahihi, wanaweza kuishi maisha yenye mafanikio. Huduma za mapema na usaidizi wa kijamii ni muhimu katika kuboresha maisha yao. #health #life #Love #family #care #afya #maisha #music #instagram #tanzania #water